Naitwa Analyse, na hii ndio safari yangu ya maisha...

Naitwa Analyse, na hii ndio safari yangu ya maisha...

Hongera sana mkuu kwa kupata baba unaejivunia kuwa nae!
wengine kwa mababa zetu tumeambulia majina ya pili tu!manake una baba ambae hajui chochote kuhusu wewe wala hataki kujua asa story kama hizi ndo unaishia kuziona hapa jf tu
Poleni sana wako!
 
Mkuu umetisha sana, kuna mafunzo makubwa sana katika huu uzi wako, hasa kwa ambao tumeshakuwa baba, msimamo & upendo ni jambo la muhimu sana japo haya mambo hayatakiwi kuingiliana kabisa, nimejifunza kwa baba yako japokuwa alikuwa anakupenda sana lakini alibaki na msimamo wake ujifunze kitu katika maisha, na akahakikisha umekikamilisha hata pale ulipoamua kurudisha mpira kwa kipa...hakika wewe ni muandishi bora kabisa, God bless You

Upendo na msimamo[emoji1431]
 
Back
Top Bottom