Naitwa Analyse, na hii ndio safari yangu ya maisha...

Aisee!! Nimesoma story kamili ila mkuu najiona sijaanza hata safari uliyopitia wewe. Nimempenda mzee wako bure aisee, MCHEKESHAJI ALIYE SERIOUS. Watu kama ninyi wamebaki wachache sana na hii ya kuitwa mahali kisha mwenyeji akazima simu naona imeshamiri sana. Lakini yote heri, maisha lazima yaendelee. BIG UP
Pamoja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa hivi mambo yanaenda fresh, Mungu anasaidia. Last week mama alipata malaria akawa amelazwa (hii ni mara ya pili analazwa sababu ya malaria ndani ya miezi 5). Alivyopataga malaria mara ya kwanza, ilibidi niwanunulie net mpya alaf niwakazie kuwa wawe wanaitumia. Sasa this time alipolazwa tena, ikabidi ni mpigie mshua tukaongea, alaf mwishoni nikamsisitiza wasiache kutumia net ili kuzuia mbu.

Mzee akaniambia "Umesisitiza mara mbili tu unaona nyiingi, wakati haya makunyanzi unayoona usoni mwangu nisababu ya kuwasisitiza nyie kipindi mnakua, unipigiage usiku kabla sijalala ili uhakikishe kama tumechomeka net"

Japo najua lazima wachomeke net, ila huwa nawapigiaga tu just to make a conversation before they sleep..
Analyse hebu tueleze mpaka sasa umefikia wapi..maana ulipndoka na baraka za wazaz kbs

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa hivi mambo yanaenda fresh, Mungu anasaidia. Last week mama alipata malaria akawa amelazwa (hii ni mara ya pili analazwa sababu ya malaria ndani ya miezi 5). Alivyopataga malaria mara ya kwanza, ilibidi niwanunulie net mpya alaf niwakazie kuwa wawe wanaitumia. Sasa this time alipolazwa tena, ikabidi ni mpigie mshua tukaongea, alaf mwishoni nikamsisitiza wasiache kutumia net ili kuzuia mbu.

Mzee akaniambia "Umesisitiza mara mbili tu unaona nyiingi, wakati haya makunyanzi unayoona usoni mwangu nisababu ya kuwasisitiza nyie kipindi mnakua, unipigiage usiku kabla sijalala ili uhakikishe kama tumechomeka net"

Japo najua lazima wachomeke net, ila huwa nawapigiaga tu just to make a conversation before they sleep..

Sent using Jamii Forums mobile app
Mshua ni jembe sana,na vipi mtoto shule kaanza au bado anakua kwa Babu?
 
Back
Top Bottom