Penguinelli Cactussini
Senior Member
- May 23, 2022
- 106
- 383
Aliwashika kwenye makwapa😃Uliwachekeshaje?
Jitie dole, wallah vile watachekaNimekuwa nikiamini najua kuchekesha sana ila watu wananikataa.
Juzi nimeenda Coco beach na nikakusanya watu ili kuwachekesha ila hawakucheka.
Haiwezekani mimi nawachekesha watu ila wao hawacheki. Ni dharau?
Unadhani hao watu wana shida gani? Na nitawasaidiaje waelewe?
Inaonekana ndio michezo yako jombaaaa?Jitie dole, wallah vile watacheka
Niliwauliza kuwa wanajua kwanini bata wanahema sana wakitembea?Uliwachekeshaje?
kuchekesha ni aina ya sanaaNimekuwa nikiamini najua kuchekesha sana ila watu wananikataa.
Juzi nimeenda Coco beach na nikakusanya watu ili kuwachekesha ila hawakucheka.
Haiwezekani mimi nawachekesha watu ila wao hawacheki. Ni dharau?
Unadhani hao watu wana shida gani? Na nitawasaidiaje waelewe?
yeah utacheka bila kushikwa kwapaMimi nimeku verify...maana uzi tu unachekesha nadhani ukiwa live wewe noma
Hahahaaaaa katika pilikapilika za maisha nilijikuta najiingiza kwenye sanaa ya uchekeshaji.Nimekuwa nikiamini najua kuchekesha sana ila watu wananikataa.
Juzi nimeenda Coco beach na nikakusanya watu ili kuwachekesha ila hawakucheka.
Haiwezekani mimi nawachekesha watu ila wao hawacheki. Ni dharau?
Unadhani hao watu wana shida gani? Na nitawasaidiaje waelewe?
yani kwa maelezo yako tu hapa, haujawahi kufanya mazoezi, hauna uzoefu wa kuchekesha watu jukwaani, yani hauna mbinu, utindu wala ufundi wowote, hata kama ukiwa na kipaji bado unahitaji mazoezi n uzoefu, ingekuwa rahisi wauza machungwa wote, makondakta wote wangjiingiza kwenye uchekeshaji, ila sio rahisiHahahaaaaa katika pilikapilika za maisha nilijikuta najiingiza kwenye sanaa ya uchekeshaji.
Kuna siku nikaenda pale peacock Hotel (kkoo) kulikua na show, ilipoisha nikamfuata mshkaji mmoja kati ya wale waliopafomu nikamuelekeza kwamba ninakipaji cha kuchekeza anishike mkono .
Mshkaji mpaka leo ni staa mkubwa tu wa comedy(akisoma hapa atakumbuka) jamaa hakuna na noma, tukabadilisha contact kisha akanipa mwaliko show inayofuata masaki.
Siku ilipofika saa moja tu jioni nimeshafika, tukaonana na jamaa akanipa ratiba, jina langu lipo kwenye list wachekeshaji.
Muda ulipofika nikapanda jukwaani, kutazama nyomi sio poa, hapo hapo nikaingiza baridi, piga joke ya kwanza holllllaaaawatu wamenuna, piga joke ya pili watu kimya ,piga jokes mfululizo watu bado wamenuna(halafu pale mbele vip zimekaa pisi kalikali na washua kama wote)
Mpaka Mc anakuja kunishusha sikufanikiwa kuchekesha hata sisimizi 😄 🤣 😂 , nikashuka jukwaani noma kichizi.
Kurudi backstage wale wachekeshaji wenzangu wooote hawana mbavu wananicheka, atleast nikapata moyo nimewachekesha hata wao
Aisee itabidi nijitahidi kumbe nawezaMimi nimeku verify...maana uzi tu unachekesha nadhani ukiwa live wewe noma
Aisee itabidi nikazaneTayari umechekesha.
Asa hicho nacho ni kitu cha kumfanya mtu acheke mkuu?Niliwauliza kuwa wanajua kwanini bata wanahema sana wakitembea?
Kuna wadau wengi mtaani ni wacheshi na wenye vipaji ila juhudi hawana.aiseh nlikutana na jamaa mmoja anachekesha balaa, nkamwambia mbona unajificha? kama akifanikiwa jamaa atawafunika wengi,
Kwanini?Niliwauliza kuwa wanajua kwanini bata wanahema sana wakitembea?