Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 78,768
- 172,128
πππππππππ
π€Hahahaaaaa katika pilikapilika za maisha nilijikuta najiingiza kwenye sanaa ya uchekeshaji.
Kuna siku nikaenda pale peacock Hotel (kkoo) kulikua na show, ilipoisha nikamfuata mshkaji mmoja kati ya wale waliopafomu nikamuelekeza kwamba ninakipaji cha kuchekeza anishike mkono .
Mshkaji mpaka leo ni staa mkubwa tu wa comedy(akisoma hapa atakumbuka) jamaa hakuna na noma, tukabadilisha contact kisha akanipa mwaliko show inayofuata masaki.
Siku ilipofika saa moja tu jioni nimeshafika, tukaonana na jamaa akanipa ratiba, jina langu lipo kwenye list wachekeshaji.
Muda ulipofika nikapanda jukwaani, kutazama nyomi sio poa, hapo hapo nikaingiza baridi, piga joke ya kwanza holllllaaaawatu wamenuna, piga joke ya pili watu kimya ,piga jokes mfululizo watu bado wamenuna(halafu pale mbele vip zimekaa pisi kalikali na washua kama wote)
Mpaka Mc anakuja kunishusha sikufanikiwa kuchekesha hata sisimizi π π€£ π , nikashuka jukwaani noma kichizi.
Kurudi backstage wale wachekeshaji wenzangu wooote hawana mbavu wananicheka, atleast nikapata moyo nimewachekesha hata wao
Ni kwa sababu wameumbwa hivyoKwanini?
ππππHahahaaaaa katika pilikapilika za maisha nilijikuta najiingiza kwenye sanaa ya uchekeshaji.
Kuna siku nikaenda pale peacock Hotel (kkoo) kulikua na show, ilipoisha nikamfuata mshkaji mmoja kati ya wale waliopafomu nikamuelekeza kwamba ninakipaji cha kuchekeza anishike mkono .
Mshkaji mpaka leo ni staa mkubwa tu wa comedy(akisoma hapa atakumbuka) jamaa hakuna na noma, tukabadilisha contact kisha akanipa mwaliko show inayofuata masaki.
Siku ilipofika saa moja tu jioni nimeshafika, tukaonana na jamaa akanipa ratiba, jina langu lipo kwenye list wachekeshaji.
Muda ulipofika nikapanda jukwaani, kutazama nyomi sio poa, hapo hapo nikaingiza baridi, piga joke ya kwanza holllllaaaawatu wamenuna, piga joke ya pili watu kimya ,piga jokes mfululizo watu bado wamenuna(halafu pale mbele vip zimekaa pisi kalikali na washua kama wote)
Mpaka Mc anakuja kunishusha sikufanikiwa kuchekesha hata sisimizi π π€£ π , nikashuka jukwaani noma kichizi.
Kurudi backstage wale wachekeshaji wenzangu wooote hawana mbavu wananicheka, atleast nikapata moyo nimewachekesha hata wao
Kuchekesha ni kipaji .Nimekuwa nikiamini najua kuchekesha sana ila watu wananikataa.
Juzi nimeenda Coco beach na nikakusanya watu ili kuwachekesha ila hawakucheka.
Haiwezekani mimi nawachekesha watu ila wao hawacheki. Ni dharau?
Unadhani hao watu wana shida gani? Na nitawasaidiaje waelewe?
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£Uliwachekeshaje?
Halafu anuse π€£π€£π€£π€£π€£π€£Jitie dole, wallah vile watacheka
Iga u ponjoroooo nakwambia wataigaaaa π³π³π³Nimekuwa nikiamini najua kuchekesha sana ila watu wananikataa.
Juzi nimeenda Coco beach na nikakusanya watu ili kuwachekesha ila hawakucheka.
Haiwezekani mimi nawachekesha watu ila wao hawacheki. Ni dharau?
Unadhani hao watu wana shida gani? Na nitawasaidiaje waelewe?
ππππππNiliwauliza kuwa wanajua kwanini bata wanahema sana wakitembea?
ππππππππHahahaaaaa katika pilikapilika za maisha nilijikuta najiingiza kwenye sanaa ya uchekeshaji.
Kuna siku nikaenda pale peacock Hotel (kkoo) kulikua na show, ilipoisha nikamfuata mshkaji mmoja kati ya wale waliopafomu nikamuelekeza kwamba ninakipaji cha kuchekeza anishike mkono .
Mshkaji mpaka leo ni staa mkubwa tu wa comedy(akisoma hapa atakumbuka) jamaa hakuna na noma, tukabadilisha contact kisha akanipa mwaliko show inayofuata masaki.
Siku ilipofika saa moja tu jioni nimeshafika, tukaonana na jamaa akanipa ratiba, jina langu lipo kwenye list wachekeshaji.
Muda ulipofika nikapanda jukwaani, kutazama nyomi sio poa, hapo hapo nikaingiza baridi, piga joke ya kwanza holllllaaaawatu wamenuna, piga joke ya pili watu kimya ,piga jokes mfululizo watu bado wamenuna(halafu pale mbele vip zimekaa pisi kalikali na washua kama wote)
Mpaka Mc anakuja kunishusha sikufanikiwa kuchekesha hata sisimizi π π€£ π , nikashuka jukwaani noma kichizi.
Kurudi backstage wale wachekeshaji wenzangu wooote hawana mbavu wananicheka, atleast nikapata moyo nimewachekesha hata wao
Mbona haichekeshiNi kwa sababu wameumbwa hivyo
Unanikatisha tamaaMbona haichekeshi
Wanaweza wakacheka sana, lakini wanakucheka wewe kwa kujidhalilisha jukwaani, siyo kwa contentNimekuwa nikiamini najua kuchekesha sana ila watu wananikataa.
Juzi nimeenda Coco beach na nikakusanya watu ili kuwachekesha ila hawakucheka.
Haiwezekani mimi nawachekesha watu ila wao hawacheki. Ni dharau?
Unadhani hao watu wana shida gani? Na nitawasaidiaje waelewe?
Sikutambua hili kabla. Wife material tunaweza kuchekeshana zaidi?Huu uzi unachekesha