Najaribu fani ya uchekeshaji ila watu hawacheki kwanini?

πŸ€”
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kuchekesha ni kipaji .

Kama unacho unacho tu wala hutumii nguvu na kama huna huna tu.

Ninawashangaa wale wanaoenda vyuo vya sanaa kusomea kuchekesha ni kama wanajichosha tu.

Ushauri, fanya kazi nyingine fani ya kuchekesha waachie wenye vipawa vyao.
 
Iga u ponjoroooo nakwambia wataigaaaa 😳😳😳
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Wanaweza wakacheka sana, lakini wanakucheka wewe kwa kujidhalilisha jukwaani, siyo kwa content
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…