ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Upewe kazi afu uje kulalamika kikokotoo? Private sector Kuna mafao?Ndugu umepuyanga,suala la kikokotoo ni kaa la moto kwa watawala kwasabu mifuko ya hifadhi ya jamii imefanywa chanzo cha mapato ya serikali,ile percentage inayochangiwa na mwajiri ni geresha,we have to be realistic kwenye hii hoja,km ww ni mserikali ondoeni acheni geresha na ujanjaujanja.Siasa mingi wkt mnajua kiini cha tatizo
Hela zenyewe ni za Serikali