Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mahakama inisaidie katibu mkuu anipe fomu ya mimi kugombea na inipe haki ya kuomba kuteuliwa na chama changu kugombea nafasi ya rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania😂😂😁Mimi nilijiandaa na nimejiandaa kugombea urais kupitia CCM 2025 kwa kuwa uwezo ninao na nimekidhi vigezo vya kuwa mgombea halali kupitia CCM !
Nashangaa Leo mkutano unaadhimia tu bila kuuliza ni wangapi wana nia ya kugombea nafasi hiyo ! Sijalizishwa na maamuzi yaliyotolewa hivyo najiandaa kwenda kuweka zuio mahakamani la kupinga mchakato wote wa Leo ambao Mimi nadiriki kuuita haramu !
Mahakama inisaidie katibu mkuu anipe fomu ya mimi kugombea na inipe haki ya kuomba kuteuliwa na chama changu kugombea nafasi ya rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania
Ni Formula Inayoitwa M A G A Z I J U T ONina mashaka formula iliyomuondoa jiwe baada ya uchaguzi itarudiwa tena
Mkuu sio kweli, utaratibu wa ndani ya chama umekiukwa. Katiba ya chama imesiginwa!mkuu unatafuta haki ndani ya wasiojulikana ? achana mambo ya haki bongo hayapo we labda uingie mstuni tu. haki??
Unamshtaki Mgombea mwenza?Kesho naita press
Ila lazima wana sababu ya kupendekeza jina moja tu
Bado mpo CCM?!Mimi nilijiandaa na nimejiandaa kugombea urais kupitia CCM 2025 kwa kuwa uwezo ninao na nimekidhi vigezo vya kuwa mgombea halali kupitia CCM !
Nashangaa Leo mkutano unaadhimia tu bila kuuliza ni wangapi wana nia ya kugombea nafasi hiyo ! Sijalizishwa na maamuzi yaliyotolewa hivyo najiandaa kwenda kuweka zuio mahakamani la kupinga mchakato wote wa Leo ambao Mimi nadiriki kuuita haramu !
Mahakama inisaidie katibu mkuu anipe fomu ya mimi kugombea na inipe haki ya kuomba kuteuliwa na chama changu kugombea nafasi ya rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania
Awamu hii tunaburuzana mahakamani na sio kuacha Sheria zinapondishwa makusudi namna hiiWana sababu, kina nani hao ?
Aliyependekeza jina la mgombea awe nani na apite bila kupambanishwa ni Mzee wa Chama, Jakaya Kikwete, ambae aliyekiri kwamba yeye sio mjumbe, na anashukuru kualikwa tu.
Baadae Mwenyekiti akasema ni Jakaya ndio alimwambia Rais "nipe hiyo maiki nikusaidie," baada ya yeye Mwenyekiti kukwama atumie utaratibu gani na kuomba ushauri kwa wazee.
Kabla ya hapo Mjumbe Kibajaji aliomba Mwenyekiti na Makamu watoke nje maana sio utamaduni wa CCM wao kuwa ndani. Unaendeshaje kikao cha kujipendekeza mwenyewe kuwa mgombea wa Urais ?
Mwenyekiti akakataa, akisema anataka mambo yawe wazi. Wazi kwa nani, kwake yeye amjue nani hamtaki ? Angekaa pembeni asingemwona kwenye TV kama sisi ?
Kwa mara nyingine tena, Rais mstaafu anaingia ndani ya kikao cha maamuzi na kufanya udikteta wa kuamua fate ya Urais. Alipofanya mara ya kwanza alikuwa outgoing president, akamkata Lowassa. (Sisemi Lowassa angekuwa bora kuliko Magufuli, naongea michakato ya kidemokrasia.) Leo tena kakata kila aliyekuwa na nia.
I lay the blame at the doorstep of Julius Nyerere. Monkey see, monkey do. He did it in 1985 for Mwinyi, and 1995 for Mkapa. They are mimicking all the disastrous mistakes and misrule of the founding President.
We haven't found transformative, maverick leaders, to dare and upend those grotesquely undemocratic systems installed by Mwalimu Nyerere.
he knowsKweni kuna utawala wa sheria au maagizo kutoka juu?
Don't waste your time.
Hampo sawa upstairs Yes ndio.Yes ndio
Silence is the best ship homeMimi nilijiandaa na nimejiandaa kugombea urais kupitia CCM 2025 kwa kuwa uwezo ninao na nimekidhi vigezo vya kuwa mgombea halali kupitia CCM !
Nashangaa Leo mkutano unaadhimia tu bila kuuliza ni wangapi wana nia ya kugombea nafasi hiyo ! Sijalizishwa na maamuzi yaliyotolewa hivyo najiandaa kwenda kuweka zuio mahakamani la kupinga mchakato wote wa Leo ambao Mimi nadiriki kuuita haramu !
Mahakama inisaidie katibu mkuu anipe fomu ya mimi kugombea na inipe haki ya kuomba kuteuliwa na chama changu kugombea nafasi ya rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania
Inashangaza sana
Sijachanganyikiwa kabisa ngoja niite press kesho ndio nitaeleweka sawaMahakama inisaidie katibu mkuu anipe fomu ya mimi kugombea na inipe haki ya kuomba kuteuliwa na chama changu kugombea nafasi ya rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania😂😂😁