Mhafidhina07
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 3,340
- 4,659
shukraniKila la kheri mkuu
thanksAll the Best
duuuuuhMbona bado mdogo 32yr ? Acha haraka ya maisha una kaa kaa home at least 45 ndo utoke home
ntajitahidi na nimedhamiriaFanya unachoweza utoke home agemate, umri na majukumu yameshakukataa.
ahsantePole sana
hapana ushauri huo hauna mashiko ya maendeleoAcha kuingia gharama zisizo na msingi wewe! Mimi nakushauri ubaki hapo hapo kwa wazazi wako. Siku ikitokea tu Mwenyezi Mungu kawapenda zaidi; hiyo nyumba inakuwa mali yako.
Noma sana, komaa mwanabado sijazaa
Mshauri wako awe akili kukichwa🤔habari wadau
Mimi ni kijana wa umri miaka 32, naishi DAR miaka yote hiyo nipo kwa wazazi na nimeoa ila bado sijazaa ndoa yangu bado changa ila natumai soon nitaitwa faza kabla stori haijawa ndefu niseme tu wiki hii nimekuwa na mawazo ya kuhama home hiovyo natarajia miezi 3 mbele niende kupanga japo fedha inanipiga chenga lakini nafsi inaniambia mafanikio yapo ukihama hivyo najitutumua wadau nianza kufanya maendeleo before 40.
Napokea ushauri.
shukrani sna brooToka ila jipange kumbuka mtoto anakuja vinginevyo utarudi.
NB: ONDOKA KWA AMANI