Najiandaa kuondoka nyumbani, nimeamua kwenda kupanga. Je, kuna ushauri?

Miaka 32 umeoa, unakaa kwa wazazi?? Wewe mzima kichwani? Wapi mwanaume anaoa yuko kwa wazazi wake?
Hizi tamaduni za wazanzibar ziko na huko bara?
Ila kuna watu wa hovyo sana kuoa ukiwa na akili za kulelewa.
 
Wazazi wa Kitanzania tunachangia kuharibu maisha ya watoto.

Miaka 32 hupaswi kuishi Kwa wazazi, Mimi nilianza kujitegemea nikiwa na miaka 21 tu na home kupo fresh.
 
Wazazi wa Kitanzania tunachangia kuharibu maisha ya watoto.

Miaka 32 hupaswi kuishi Kwa wazazi, Mimi nilianza kujitegemea nikiwa na miaka 21 tu na home kupo fresh.
ni kweli ila kuna muda maisha yanatufanya tubaki kwa wazazi kutokana na aina ya ulezi but now nataka kufata maendeleo na ndoto zangu.
 
Miezi mitatu mbali, anza kuhama now ila usiondoke na mke wako kwanza. Mwache kwanza nyumbani ukishajipata kamchukue.

Kuna uzi unasema “ulianzaje kukaa ghetto “ utafute utakupa moja mbili za msingi
shukrani,thus is why am here now nahamisha akili baada ya mwezi au miezi ndiyo nahama mwenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…