Najiandaa kuondoka nyumbani, nimeamua kwenda kupanga. Je, kuna ushauri?

Umeamua jambo jema Ingawa umechelewa sana,utafanikiwa maana ulikuwa kero kwa kubana nafasi home kila la kheri!
 
Hili jamaa sijalisoma!!! Miaka 32 anajiita kijana??? Kwa akili hii wewe ni zeee! Pili unasema bado "hujazaa" duh?? Mwanaume anazaa? Au shoga nini? Ndoa yako changa!!!!! Mh??? £!£££@%×#£@&
 
Kuondoka nyumbani ni kuanzia miaka 18 mpaka 45 na hapo kwenye 18 mpaka 44 unaweza ukapiga in and out yaan ukiona mambo magumu unapiga Backpass unarudisha mpira kwa kipa ukifikisha miaka 45 hapo inabidi uwe tayari umeshajiweza kabisa kwa unaweza hata ukafukuzwa kwenu ukaishi kwako kikubwa ujue kwenda kulishambulia Goli kwa kupita katikati au ujue kupiga V Pass kulenga Goli na usipende kushinda kwa kupitia winga ya kushoto au kulia mpaka kwenye kibendera ndio unapiga cross dongo ili ushinde Goli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…