Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sawa, vipi kwa upande wa mahusiano, je kuna jamaa aliwahi kukuacha kwasababu hiyo?Uwiii jamani dah,asante nitajaribu kupima
Dada hebu jibu vizuri hilo swali kwa kirefu, usijibu kwa kuchokachoka;Hapana sijazaliwa nayo
Njia nyingine ya uhakika kwa wenye uhakika.
Amua kuokoka kweli kutoka moyoni, nenda kwenye kanisa la watu waliookoka KWELIKWELI kama T.A.G au E.A.G.T kisha wambie watumishi UNATAKA KUOKOKA, kisha watakuongoza kupokea wokovu.
NB: Si kila tatizo linaweza kutibiwa kwa dawa. Mengine yanasababishwa na nguvu za giza hivyo JINA LA YESU PEKEE LINAWEZA KUKUOKOA.
Kama kweli umeamua kuokoka kutoka moyoni, wambie wakuombee tatizo lako la ngozi, watakuombea utapona kama una imani kwamba Mungu anaweza pia kama umemaaishisha kumfata Mungu/kudumu katika wokovu mpaka mwisho wa maisha yako.
NB: Usiende kuokoka kama unakwenda kujaribu utapona au la! Bali nenda kaokoke kwa kumfata Mungu bila kujali kama atakuponya au hatakuponya. Kwani Wokovu utakupeleka mbinguni. Pia Ukiokoka Mungu anaweza kukuponya magonjwa na matatizo yako yote.
Wokovu si dini, bali ni mabadiliko ya NAFSI yanayofanywa na Mungu kwa yeyote anayempokea Bwana Yesu ili amuokoe na dhambi na jehanamu ya moto.
Duh!Pole sana dada! Ulishawahi kupima fangasi ya damu?
Sijachunguza vizuri kuanzia lini ila miaka 3 nyuma nilianza kunotice na sasa imekua severe,kuna sehem nilijikwaruza kidogo tu miaka 3 nyuma hadi leo huo mstari upo.Dada hebu jibu vizuri hilo swali kwa kirefu, usijibu kwa kuchokachoka;
Specifically hilo tatizo la kubaki na kovu ukijikuna lilianza lini (miaka mingapi iliyopita?)
Kuna logic ktk swali hilo, kwamba km lilianzia ukubwani je ilikuwa ni ktk wakati ambao style yako ya maisha ulikuwa umeibadilisha? (km kuanza matumizi ya vipodozi tofautitofauti) n.k
Kuokoka ni muhimu lakini ni uchanga wa kiroho,udini na upotoshaji kusema waliookoka wanapatikana kwenye baadhi ya madhehebu machache kama hayo uliyoyataja,Mungu hana mipaka ya kidhehebu pole.Njia nyingine ya uhakika kwa wenye uhakika.
Amua kuokoka kweli kutoka moyoni, nenda kwenye kanisa la watu waliookoka KWELIKWELI kama T.A.G au E.A.G.T kisha wambie watumishi UNATAKA KUOKOKA, kisha watakuongoza kupokea wokovu.
NB: Si kila tatizo linaweza kutibiwa kwa dawa. Mengine yanasababishwa na nguvu za giza hivyo JINA LA YESU PEKEE LINAWEZA KUKUOKOA.
Kama kweli umeamua kuokoka kutoka moyoni, wambie wakuombee tatizo lako la ngozi, watakuombea utapona kama una imani kwamba Mungu anaweza pia kama umemaaishisha kumfata Mungu/kudumu katika wokovu mpaka mwisho wa maisha yako.
NB: Usiende kuokoka kama unakwenda kujaribu utapona au la! Bali nenda kaokoke kwa kumfata Mungu bila kujali kama atakuponya au hatakuponya. Kwani Wokovu utakupeleka mbinguni. Pia Ukiokoka Mungu anaweza kukuponya magonjwa na matatizo yako yote.
Wokovu si dini, bali ni mabadiliko ya NAFSI yanayofanywa na Mungu kwa yeyote anayempokea Bwana Yesu ili amuokoe na dhambi na jehanamu ya moto.
Nimetumia neno "kama" (like) si "only" kipindi nikielezea makanisa hayo. Ungekuwa mpagani isingekusumbua lakini ukiwa na dini, lazima udini ukuteseKuokoka ni muhimu lakini ni uchanga wa kiroho,udini na upotoshaji kusema waliookoka wanapatikana kwenye baadhi ya madhehebu machache kama hayo uliyoyataja,Mungu hana mipaka ya kidhehebu pole.
Wewe ni Professor wa nini ... ?!Njia nyingine ya uhakika kwa wenye uhakika.
Amua kuokoka kweli kutoka moyoni, nenda kwenye kanisa la watu waliookoka KWELIKWELI kama T.A.G au E.A.G.T kisha wambie watumishi UNATAKA KUOKOKA, kisha watakuongoza kupokea wokovu.
NB: Si kila tatizo linaweza kutibiwa kwa dawa. Mengine yanasababishwa na nguvu za giza hivyo JINA LA YESU PEKEE LINAWEZA KUKUOKOA.
Kama kweli umeamua kuokoka kutoka moyoni, wambie wakuombee tatizo lako la ngozi, watakuombea utapona kama una imani kwamba Mungu anaweza pia kama umemaaishisha kumfata Mungu/kudumu katika wokovu mpaka mwisho wa maisha yako.
NB: Usiende kuokoka kama unakwenda kujaribu utapona au la! Bali nenda kaokoke kwa kumfata Mungu bila kujali kama atakuponya au hatakuponya. Kwani Wokovu utakupeleka mbinguni. Pia Ukiokoka Mungu anaweza kukuponya magonjwa na matatizo yako yote.
Wokovu si dini, bali ni mabadiliko ya NAFSI yanayofanywa na Mungu kwa yeyote anayempokea Bwana Yesu ili amuokoe na dhambi na jehanamu ya moto.
Siwezi kumfundisha kipofu kuchora.Wewe ni Professor wa nini ... ?!
Lakini wewe pia ni "mdini" ..., extremist ... !
Mungu hapewi masharti na wanadamu wala wakristo , au walokoke kuwa hamponyi MTU wake mpaka eti AOKOKE au akasali huko ulikotaja ... !
"Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa" ...
Usiogope kunijibu kwa maandiko ..., kama wewe una macho ... Mimi ni wa Kristo . . ., ninamjua ..., ninampenda ..., nae ananipenda ... [emoji1]Siwezi kumfundisha kipofu kuchora.