Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duhhayo ni mapepo ya ngozi mama dawa za dunia haziponyi, hapo ni maombi tu!
Acha uwongo wako!we ukiumwa tumbo la kuharisha unaombewa bila dawa?hayo ni mapepo ya ngozi mama dawa za dunia haziponyi, hapo ni maombi tu!
Fanya water therapy, jaribu inaweza kukusaidiaMamboz,jamani kama mnakumbuka nilikua natafuta mchumba na hali yangu niliyonayo,wengi walijitokeza wakidhani natania labda,walihisi mimi ni mzuri sana ila natania.
Kusema ukweli nipo kama nilivyosema,na nimerudi tena kuomba msaada kwa anaejua dawa ya makovu tafadhali,sio ya ajali yani yanatokea tu hata nikijikuna kovu linabaki,pia nikiumwa na mdudu lazima kovu libaki,nikijikwaruza kidogo bas kovu hilo.
Wanaume pia hawaniangalii hata mara mbili,niko mpweke,sina hata mwenza.
Nachukia sana ngozi yangu na sijui shida ni nini,naomba tafadhali kwa anaejua dawa ambayo itanifaa...
Wanawake wenzangu nisaidieni,kina baba,kina kaka naombeni mnitajie dawa itakayoondoa makovu haya jamani.
Bio oil nimejaribu haifanyi kazi,aloevera hua napaka sioni matokei,limao pia hakuna kitu.
Najisikia vibaya sana,mda mwingine hua nikijiangalia nalia tu,why me?
Msaada wenu ndugu zangu tafadhali.
Mamboz,jamani kama mnakumbuka nilikua natafuta mchumba na hali yangu niliyonayo,wengi walijitokeza wakidhani natania labda,walihisi mimi ni mzuri sana ila natania.
Kusema ukweli nipo kama nilivyosema,na nimerudi tena kuomba msaada kwa anaejua dawa ya makovu tafadhali,sio ya ajali yani yanatokea tu hata nikijikuna kovu linabaki,pia nikiumwa na mdudu lazima kovu libaki,nikijikwaruza kidogo bas kovu hilo.
Wanaume pia hawaniangalii hata mara mbili,niko mpweke,sina hata mwenza.
Nachukia sana ngozi yangu na sijui shida ni nini,naomba tafadhali kwa anaejua dawa ambayo itanifaa...
Wanawake wenzangu nisaidieni,kina baba,kina kaka naombeni mnitajie dawa itakayoondoa makovu haya jamani.
Bio oil nimejaribu haifanyi kazi,aloevera hua napaka sioni matokei,limao pia hakuna kitu.
Najisikia vibaya sana,mda mwingine hua nikijiangalia nalia tu,why me?
Msaada wenu ndugu zangu tafadhali.
Pole sana dada! Ulishawahi kupima fangasi ya damu?
Kamuulize....!!Nenda kawaome madaktari wa ngozi. Nna rafiki alikua hivyo sijui walifanyaje!
Njia nyingine ya uhakika kwa wenye uhakika.
Amua kuokoka kweli kutoka moyoni, nenda kwenye kanisa la watu waliookoka KWELIKWELI kama T.A.G au E.A.G.T kisha wambie watumishi UNATAKA KUOKOKA, kisha watakuongoza kupokea wokovu.
NB: Si kila tatizo linaweza kutibiwa kwa dawa. Mengine yanasababishwa na nguvu za giza hivyo JINA LA YESU PEKEE LINAWEZA KUKUOKOA.
Kama kweli umeamua kuokoka kutoka moyoni, wambie wakuombee tatizo lako la ngozi, watakuombea utapona kama una imani kwamba Mungu anaweza pia kama umemaaishisha kumfata Mungu/kudumu katika wokovu mpaka mwisho wa maisha yako.
NB: Usiende kuokoka kama unakwenda kujaribu utapona au la! Bali nenda kaokoke kwa kumfata Mungu bila kujali kama atakuponya au hatakuponya. Kwani Wokovu utakupeleka mbinguni. Pia Ukiokoka Mungu anaweza kukuponya magonjwa na matatizo yako yote.
Wokovu si dini, bali ni mabadiliko ya NAFSI yanayofanywa na Mungu kwa yeyote anayempokea Bwana Yesu ili amuokoe na dhambi na jehanamu ya moto.