Najihisi kumpenda mwanaume huyu wa JF Vladimirovich Putin

Status
Not open for further replies.

Dunia hadaa walimwengu mashujaa... kaza moyo... mapambano daima, misimamo kama Che Guevara

Cc: mahondaw
 
Sasa mbona uyu vilad ndo amekuja juu kwenye uzi kuliko mtoa mada, kama ni kweli haina haja ya kutuaminisha..we jiamini kama mwanaume na sio kuwaya waya hapa

Nenda pm kimyakimya mkayajenge
Umejiunga lin JF mpaka hujui V putin nimtu wa aina gani ?? .

Mimi nakawaida ya kutokaa kimya ili hali naona mtu asokua namakosa akidhihakiwa ..NOOOO MKUU .

ndomaana unaona nimebeba jukumu la kumsimamia Bidada....
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] asee
 
hapa ndo nimefika kabisa, nilikumis sana jaman
vp kile kijiwe chetu bado kinaendelea?
teh teh
Hapa tulimisiana wote kwa pamoja, maana baada ya jamvi kufungwa nilitamani ningekuwa na mawasiliano ya kawaida ya baadhi ya watu.

Kijiwe kipo ila mahudhurio ndio sina uhakika kama yanakidhi. Mimi nimekuwa mtoro sana huko tangu jamvi lirejeshwe.
 
mimi sijaenda kabisa, hope kuna wanaonikumbuka kule
nitajitahidi nisalimie huko one day.

mimi pia nilitaman ningekuwa na namba za baadhi ya marafiki zangu

teh teh, jf imenifanya kuwa addicted
 
Hivi unawezaje kumpenda mtu ambaye hujawahi hata kumuona siku moja, hujui yukoje, anafananaje,?? Wewe umejiunga hapa JF mwezi wa 5 mwaka huu 2018 na sasa ni miezi 2 tu imepita tayari unampenda member mwenzio??
Anyways, tunaoelewa maana ya neno "nakupenda" tunakataa huko siyo kupenda mkuu African princess huko ni "kutamani". Sema umemtamani Vladimirovich Putin na siyo umempenda. Kupenda ni dhana moja pana sana.

Hii kapo nimetokea kuikubali kinyama aiseeeee..... Nakushauri ukaze na jitahidi uchangamke sana kabla haujabinuliwa.
Hata wenzio walianza kamahivi, ingawa wengi ninao wajua humu waliandikiwa threads za kufa kukuoza na wanaume ambao walikua wanaelekea kuzikwa kwasababu ya mahabat walokua nayo juu ya wadada wale.
Binafsi nakupa hongera na pongezi zote, kwa kukataa kuidhulumu nafsi....
 
hakika wanapata tabu sana

Cc Smart911
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…