Chief mbona umekazania sana ukimwi...vp kuna watu wengi humu wanao unawajua nn!!!?Mkuu kwan , umeshawah kutongoza wanawake wangapi ???
Shida hapa ni kuambiwa napendwa au ?? Au sio kila anaywkuambia nakupenda ,unakua naye .
Kwan hamjui ukimwi unaua ???
noted and will comply to your requestSawa, ukifika huko uwasalimie pia
Don't mix the two, there is LOVE and LUST, the feelings of those are the same. The difference is that Love takes time to grow, but Lust is instantaneous.Love does not ask why........thus why we call it love contageous,no medicine when you affected with such virus
Kapeace ,, nmeangukiwa tena nanyotaadolay
uko sahihi wengi hapo tunatoka kapaDon't mix the two, there is LOVE and LUST, the feelings of those are the same. The difference is that Love takes time to grow, but Lust is instantaneous.
Usemacho nikweli, ila kua makini sana na mfatiliaji wa kila jambo linalokuja kukuhusu ww.Huyu putin sijui ni mwanaume gani tu?
yani unaongea sana ,,,unawezaje kujibishana na mtoto wa kike kidume kizima
Mwanaume kamili toa maneno machache ya unachokiamini na usilazimishe mtu akuamini acha nao jiamini wewe kama wewe
Eehh sasa nisemeje..maana naona kuna kila neno ndo namm nataka mjue sipo humu kutafuta K."You are trying too hard"...kwa sauti ya jiwe
Waambie mkuu hawajaelewa ulivyoandika ule uzi, ungempa mtu akuandikie au unge outsource kwa mkuu mwingineEehh sasa nisemeje..maana naona kuna kila neno ndo namm nataka mjue sipo humu kutafuta K.
Au hilo nalo hamtaki ?? Bas km nalo hamlitak kweli nyie niwatu[emoji23][emoji23] mkuu
adolay
Miss you too honeyTell me Kapeace miss you
Wifi mpya loading....Kapeace ,, nmeangukiwa tena nanyota
Nakutafuta kwa udi na uvumbaLong time, wapi mama
Haahahaha acha kabisaa watapata tabu maana mpaka kuhisiwa natoka naww haahahahWifi mpya loading....
Mima white wangu mimi yuko wapi?
Kuna mahali nimetajwa km mwanamke wako [emoji23] [emoji23] [emoji23] wasilolijua .......watapata tabu sana
Princess wa africa karibu sana home nipo hapa kukupokea
Mti wenye matunda ndo upondwao mawe siku zote
Wanakuonea wivuHaahahaha acha kabisaa watapata tabu maana mpaka kuhisiwa natoka naww haahahah
Kaaaaaazi kwwlikweli[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]