Najihisi kumpenda mwanaume huyu wa JF Vladimirovich Putin

Najihisi kumpenda mwanaume huyu wa JF Vladimirovich Putin

Status
Not open for further replies.
Love does not ask why........thus why we call it love contageous,no medicine when you affected with such virus
Don't mix the two, there is LOVE and LUST, the feelings of those are the same. The difference is that Love takes time to grow, but Lust is instantaneous.
 
Huyu putin sijui ni mwanaume gani tu?

yani unaongea sana ,,,unawezaje kujibishana na mtoto wa kike kidume kizima

Mwanaume kamili toa maneno machache ya unachokiamini na usilazimishe mtu akuamini acha nao jiamini wewe kama wewe
 
Huyu putin sijui ni mwanaume gani tu?

yani unaongea sana ,,,unawezaje kujibishana na mtoto wa kike kidume kizima

Mwanaume kamili toa maneno machache ya unachokiamini na usilazimishe mtu akuamini acha nao jiamini wewe kama wewe
Usemacho nikweli, ila kua makini sana na mfatiliaji wa kila jambo linalokuja kukuhusu ww.

Kwasababu ya kupuuzia mambo , watu wwngi wamepoteza sifa ya kuaminiwa tena.

Masuala yotote yaliyo yauongo juu yako, ukiyaacha yatakuja kukuharibia sana.

Hitler anasema " Tengeneza uongo mdogo , ufanye kua mkubwa, ufanye kua mwepesi ili uaminiwe kisha utashinda" ...hii inamaana gani ?? .

Ningumu kuaminiwa ikiwajamii yako imwshaminishwa kua ww uko ivi.

Ili unielew zaidi mkuu,, Humu JF nikikutana namtu nakutana naye akijua Putin niyule yule ninaywmjua JF , sasa nikuulize, ikiwa Putin humu ndan akijulikana kwa ambavyo watu wanashabikia, kunahata mmoja atakayeniamin ?? .

Ndio maana unaona , natumia nguvu ,kwaajili yakuhakikisha huyu mmoja aliyeniamin, asikwazikwe nawala asipoteze imani iyo.
 
Eehh sasa nisemeje..maana naona kuna kila neno ndo namm nataka mjue sipo humu kutafuta K.

Au hilo nalo hamtaki ?? Bas km nalo hamlitak kweli nyie niwatu[emoji23][emoji23] mkuu
Waambie mkuu hawajaelewa ulivyoandika ule uzi, ungempa mtu akuandikie au unge outsource kwa mkuu mwingine
 
Wifi mpya loading....

Mima white wangu mimi yuko wapi?

Kuna mahali nimetajwa km mwanamke wako [emoji23] [emoji23] [emoji23] wasilolijua .......watapata tabu sana

Princess wa africa karibu sana home nipo hapa kukupokea

Mti wenye matunda ndo upondwao mawe siku zote
Haahahaha acha kabisaa watapata tabu maana mpaka kuhisiwa natoka naww haahahah


Kaaaaaazi kwwlikweli[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom