Najihisi kumpenda mwanaume huyu wa JF Vladimirovich Putin

Najihisi kumpenda mwanaume huyu wa JF Vladimirovich Putin

Status
Not open for further replies.
We unataka nikufungukie jukwaani ndo utaamini kamoyo kangu kamekudondokea

Huko hotelini ujiandae kwa ubatizo ..........

Wew nawe ubatizo miaka yote hiyo unanibatizaga tu.

OK tutakutana hoteln
 
Uko na shida wewe..! Unampenda asiyejulikana ukitekwa usije kulia hapa..!
 
acha porojo sawa na mwanaume kumpenda mwanamke alievalia nikabu
wengine ni wakina bibi
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom