Najihisi nina bahati mbaya!

Najihisi nina bahati mbaya!

Kwanza achana na iyo dhana ya bahati mbaya, tafuta maneno mengine ya kujiambia.
.
Jiepushe nao, weka mipaka na uisimamie. Muoneshe huhitaji chochote kwake na usimamie hilo. Hata misaada midogo midogo apo upunguze, mana haba na haba hujaza kibaba.
.
Tafuta mwanamke/ wanawake wako wa kukuhudumia vizuri. Pakiwa na ka uwazi tu apo kwamba hauna mwanamke wako wa kudumu basi ushawishi juu ya wake za watu unaongezeka.
.
Kuwa bize na shughuli zako.
sijawahi mpa chochote ila anamuagiza rafiki ake ambaye tumepanga nyumba moja
 
Mimi sjawah pendwa na wenye mimba ila mimi ndo huwa nawatongoza na nimeshakuwa nao kama wanne hv ni wazuri mno kwa matumiz tena mara nyingi napendeleaga vile vidogo dogo ila sjawah kuwa na mke wa mtu

Mke wa mtu ni wa kuogopa sana hasa akikutaka yeye ni bora wewe ndo uanze kumtaka
 
sijawahi mpa chochote ila anamuagiza rafiki ake ambaye tumepanga nyumba moja
Kuna bro wangu mmoja nilikuaga namfataga nikiwa na maswali kama hayo, akanishauri kama ivo, nami nikamjibu kama ulivojibu apo. Akaniangalia kisha akaniambia,
Kwaiyo?
Acha ujinga mdogo wangu, we kama unapiga piga na kama hauna mpango achana nayo fanya mambo ya maana.
 
Najihisi nina bahati mbaya
maana hili jambo limenitokea mara tatu,imefika mara ya tatu kupendwa na wadada wenye mimba tena kimapenzi,hata sielewi kwanini inajirudia.sielewi ni mkosi au nini,halafu kibaya zaidi wote ni wake za watu dah!!
Daah shetan mbaya kwel kwel
Kwa hyo ANATAKA UKAUPONZE
Wakat we mwenywe umejilinda kuanzia utotoni
 
Kuna bro wangu mmoja nilikuaga namfataga nikiwa na maswali kama hayo, akanishauri kama ivo, nami nikamjibu kama ulivojibu apo. Akaniangalia kisha akaniambia,
Kwaiyo?
Acha ujinga mdogo wangu, we kama unapiga piga na kama hauna mpango achana nayo fanya mambo ya maana.
kweli mkuu, naona tu nihame na mtaa wenyewe
 
Mimi sjawah pendwa na wenye mimba ila mimi ndo huwa nawatongoza na nimeshakuwa nao kama wanne hv ni wazuri mno kwa matumiz tena mara nyingi napendeleaga vile vidogo dogo ila sjawah kuwa na mke wa mtu

Mke wa mtu ni wa kuogopa sana hasa akikutaka yeye ni bora wewe ndo uanze kumtaka
kwaiyo unapenda kuchimba za wenye vibend
hahah
 
Back
Top Bottom