millerson
JF-Expert Member
- Aug 5, 2022
- 606
- 1,651
- Thread starter
- #21
sijawahi mpa chochote ila anamuagiza rafiki ake ambaye tumepanga nyumba mojaKwanza achana na iyo dhana ya bahati mbaya, tafuta maneno mengine ya kujiambia.
.
Jiepushe nao, weka mipaka na uisimamie. Muoneshe huhitaji chochote kwake na usimamie hilo. Hata misaada midogo midogo apo upunguze, mana haba na haba hujaza kibaba.
.
Tafuta mwanamke/ wanawake wako wa kukuhudumia vizuri. Pakiwa na ka uwazi tu apo kwamba hauna mwanamke wako wa kudumu basi ushawishi juu ya wake za watu unaongezeka.
.
Kuwa bize na shughuli zako.