Habari wakuu, niliwahi kuuliza hili swali kipindi fulani ila sikupatw majibu hivyo nalirudisha tena kwenu wana JF.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, mara kadhaa nimekuwa nikiingia kwenye mahusiano na hawa dada zetu lakini baada ya muda nakuja kugundua kuwa huyo mtu niliyenaye kwenye mahusiano ana pacha wake(TWIN) au nikimtongoza mdada ambaye ni pacha anakuwa mwepesi kunikubalia au unakuta mdada ambaye ni pacha ananitaka kimahusiano
Sasa huwa najiuliza je hili suala lina maana gani spritually?
Wataalamu wa haya mambo nijuzeni.
Naamini humu kuna wajuzi wa mambo mnaweza kunielekeza vizuri kuhusu hili suala.