Najikuta kwenye mahusiano na mwanamke ambaye ana pacha wake

Najikuta kwenye mahusiano na mwanamke ambaye ana pacha wake

Huyu wa 6 achilia mbali ambao nawapotezea,na hiyo ya kuwafuata ni mmoja tu nimewahi kumfuata wengine nimekuja kufahamu baada ya kuwa nao kwenye mahusiano.
Duh🤔🤔, Yaani mademu 6 wote mapacha..!??

Hapo unahitaji msaada wa kitaalamu zaidi. Tumuite Mkuu Mshana Jr
 
Back
Top Bottom