General Nguli
JF-Expert Member
- Apr 22, 2022
- 1,190
- 2,508
Sayansi asili ndio inayotawala dunia kwa sasa. Whether you like it or not.Habarini wa Kuu,naimani wazima Mungu ana tubariki mpaka sasa na tunaendelea vyema na majukumu yetu.
Kutokana na kasi ya mapinduzi ya Science hapa Duniani nimekuwa muhanga hasa nikiwa na fuatilia vipindi mbali mbali.
Wakati nikiwa na soma nlikuwa mpiga Debe mzuri wa Masomo ya Sanaa.Ushauri ikiwa kama mzazi na kwa wazazi wenzangu tuwasisitize watoto wetu katika kujifunza Tech i mean kudeal na maswala ya Science kwa masomo na kwa ujumla.
Tazama sasa Dunia iliko na sisi tuliko.Mungu atusaidie japo hao ma Gwiji wa Science wameanza kuzinguana.
Mimi sidhani kama ni hoja hasa kwenye masuala mengine unaweza jifunza.Habarini wa Kuu,naimani wazima Mungu ana tubariki mpaka sasa na tunaendelea vyema na majukumu yetu.
Kutokana na kasi ya mapinduzi ya Science hapa Duniani nimekuwa muhanga hasa nikiwa na fuatilia vipindi mbali mbali.
Wakati nikiwa na soma nlikuwa mpiga Debe mzuri wa Masomo ya Sanaa.Ushauri ikiwa kama mzazi na kwa wazazi wenzangu tuwasisitize watoto wetu katika kujifunza Tech i mean kudeal na maswala ya Science kwa masomo na kwa ujumla.
Tazama sasa Dunia iliko na sisi tuliko.Mungu atusaidie japo hao ma Gwiji wa Science wameanza kuzinguana.
Mimi sidhani kama ni hoja hasa kwenye masuala mengine unaweza jifunza.
Mimi napiga ma php, python na majava nina ma info ya kibao na ni mwendo wa kujfunza mwenyewe tu na wala sikusoma ma physics baada ya form 4.
Kama kichwa si chenyewe lazima ujuteSisi tuliochukua tunajuta mbona.
Mkuu unajua uzuri mimi ni mpenzi wa mambo related na comps. Kuna mambo ambayo yananivutua sana lakini sidhani hata kuna mwanafizikia wa kibongo anaweza yafanya. Kwa mfano game engine development kama unreal. Mle kuna ma physics ya hatari. Ile ndio inahusika na how things respond according to laws of physics.Yaap nakubaliana na wewe hicho kitu lakini hutaweza enjoy litakapo kuja swala la kazi nje ya Laptop yako.Science yako ni ndani ya Comp isio na uwiano wa physics
Mada ni jinsi ya ku clamatise na hii Dunia ya sasa katika ulimwengu wa science.Nina kazi na mke mmoja na michepuko.Dogo acha kujilaumu, huku mtaani tunafanya kazi ambazo hatukusomea na maisha yanaenda fresh tu.
Ulipo weka juhudi zako, kila kitu kinalipa ukiweka juhudi.
Mi nilifikiri naongea na dogo ambaye bado yuko shule, kumbe mtu mzima mwenzangu na michepuko juu?Mada ni jinsi ya ku clamatise na hii Dunia ya sasa katika ulimwengu wa science.Nina kazi na mke mmoja na michepuko.
hayo ndio masomo ninayopambana watoto wangu wasichukue.Habarini wa Kuu,naimani wazima Mungu ana tubariki mpaka sasa na tunaendelea vyema na majukumu yetu.
Kutokana na kasi ya mapinduzi ya Science hapa Duniani nimekuwa muhanga hasa nikiwa na fuatilia vipindi mbali mbali.
Wakati nikiwa na soma nlikuwa mpiga Debe mzuri wa Masomo ya Sanaa.Ushauri ikiwa kama mzazi na kwa wazazi wenzangu tuwasisitize watoto wetu katika kujifunza Tech i mean kudeal na maswala ya Science kwa masomo na kwa ujumla.
Tazama sasa Dunia iliko na sisi tuliko.Mungu atusaidie japo hao ma Gwiji wa Science wameanza kuzinguana.
Ulikua mpenz wa hesabu???Mimi sidhani kama ni hoja hasa kwenye masuala mengine unaweza jifunza.
Mimi napiga ma php, python na majava nina ma info ya kibao na ni mwendo wa kujfunza mwenyewe tu na wala sikusoma ma physics baada ya form 4.
Yaap kwakweli,iko hivii kuna Podcast nyingi sana kule Duniani Youtube.Sasa wakiwa wanafanya mazungumzo na ma Programer wanaphisicia mbalimbali wakijaribu kuchambua ukuaji wa science pale ndo wanapo niacha Chaline nakosa uwelekeo.Mi nilifikiri naongea na dogo ambaye bado yuko shule, kumbe mtu mzima mwenzangu na michepuko juu?
Sina cha kukuambia tena.
Nimesoma uchumi ila siwezi sema niko deep sana kwa hesabu maana ilikuwa inanotoa jasho.Ulikua mpenz wa hesabu???
UKiwa mbobez wa mathematics, programming is very intetesting.. logical thinking matters na ina apply sana kwenye development.
Na enjoy problem solving kwenye system developments nikiuona mchango wa hesabu kila napogeuka upande wowote ule
No, huwatendei haki watoto hao.hayo ndio masomo ninayopambana watoto wangu wasichukue.
unanifahamu kwani?Kama kichwa si chenyewe lazima ujute
Si kila aliyesoma physics anaelewa programing mkuu na wala programing inaweza kuwa rahisi kwake.Yaap kwakweli,iko hivii kuna Podcast nyingi sana kule Duniani Youtube.Sasa wakiwa wanafanya mazungumzo na ma Programer wanaphisicia mbalimbali wakijaribu kuchambua ukuaji wa science pale ndo wanapo niacha Chaline nakosa uwelekeo.