Physics ya TZ !
Huwezi unda chochote labda uwe una unga unga small gadgets. Wengi hutumia physics kuhamia sekta nyingine hasa graduate wa BSC in physic.
Elon musk kwa kutumia phycs na kusoma vitabu ameweza kuuunda vitu vingi si bongo.
Physics ndio baba wa cutting edge technology kama ulivyobainisha ila sio kwa Africa .
Hilo somo linaendeshwa kisanii sanii tu barani Africa.
Imagine mpaka leo huwezi kukuta oscilloscope mashule mengi, science kit za kileo hakuna.
University -wanafundisha practical zilizopitwa na wakati nadhani alifanyaga Newton yaani irrelevant na dunia ya leo.
University X mada za muhimu sana wameziweka option.
Mfano solid state physics, material science, astrophysics nk.
Wenzetu nje wameanzisha Engineeering physics sisi bado tuna natural physics.
Wanafizikia wa ulaya wanahangaika kuunda Quantum computer, sisi hapa hata classicsl computer bado.
Mwanafizikia wa TZ hawezi kudizaini adv chip labda ujitese mara 1000 zaidi.
Sio kwamba nakukatisha tamaa ila TZ kutoboa fizikia ufanye kazi ya ziada maana unamaliza ukiwa shallow practicallly ila unaweza kuwa na GPA kubwa ya throry.