Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Am not in love with them at all. Huwa naona kama zinakunyima total ownership of your own programm, yan unaanzia development not from scratch but from a certain level. Huwa naona kama ile underlying foindation concept ya program yako unakua unai miss ki namna flan.Yes now mwendo wa framework sana kwenye kila kitu. Sema old school ni bora zaidi
Mliosoma zamani na tuliosoma miaka ya karibuni mambo ni yale yale mabadiliko ni kidogo sana, kama saivi programming utaaanza na C...C++....java na concept ni zle zile, kuendelea hizi framework ni mwanafunzi mwenyewe ujiongeze ili uepuke coding from the scratchPole na hongera 😂. Ndio changamoto ya self learning.
ila ungeanza kwenye C hapo mambo ungeona rahis sana. Huyu ndio mama lao anakupa foundation nzur sana kias kwamba ukija kugusa C++ Au Java au Php baa inakua rahis sana.
Pia ukii master vizuri PROCEDURAL style of programming bas ukija kwenye OOP unakua hupat tabu sana. Hii ni kwa mtazamo wa sisi old school programmers maana kwa sasa naona vijana wanatumia zaid FRAMEWORKS most of which zinakklazimisha kuingia moja kwa moja ku utilize Object Oriented style of Programming. Ni nzuri japo kwasisi wa kizaman mfano mimi sio mtumiaji kabisaaaa wa Frameworks..situmii kabisaaa
Unachosema ni kweli. Kuna muda unawork na frameworks hata hujui nini kinafanyika exactly humo ndani.Am not in love with them at all. Huwa naona kama zinakunyima total ownership of your own programm, yan unaanzia development not from scratch but from a certain level. Huwa naona kama ile underlying foindation concept ya program yako unakua unai miss ki namna flan.
Tofaut na ile kama ukichukulia mfano wa ujenzi, kuwa na fursa ya kuchimba msingi na kuanza kulanza toka tofali ya kwanza mpaka ya mwisho.
Bora umuambie kabisaa.
Hakuna arts, ni Social sciences , EGM.Mimi nishawaambia vijana wangu kusoma hesabu mpaka Advance hio sio option. Ni lazimaaa. Sioma mchepuo wowote ule ila hesbu lazima iwepo. Kama kuna Arts yenye Mathematics wala sina tabu na wewe soma tu mwanangu. Hil tumekubaliana na nawa support haswaa
Now you get my point..you find alot is going on in the background of your own programm and u r not sure of what exactly are they!.Unachosema ni kweli. Kuna muda unawork na frameworks hata hujui nini kinafanyika exactly humo ndani.
Mimi nadhan old school way ndio better
Na mimi nakubal kuwa mambo ni yale yale tu ingawa around 2010's huko hiz frameworks were not there ukiacha bitu kama joomla!.Mliosoma zamani na tuliosoma miaka ya karibuni mambo ni yale yale mabadiliko ni kidogo sana, kama saivi programming utaaanza na C...C++....java na concept ni zle zile, kuendelea hizi framework ni mwanafunzi mwenyewe ujiongeze ili uepuke coding from the scratch
Plus usisahau now day vijana wanafundishwa ku code straight from Frameworks tola wanaanza koz mpaka wanamalizaMliosoma zamani na tuliosoma miaka ya karibuni mambo ni yale yale mabadiliko ni kidogo sana, kama saivi programming utaaanza na C...C++....java na concept ni zle zile, kuendelea hizi framework ni mwanafunzi mwenyewe ujiongeze ili uepuke coding from the scratch
Shida inakua hata ww ukiamua kuwa mhafidhina Mazingira yanakulazimisha uendane nayo hata utoaji wa kazi za IT Watakwambia kabs ujue frameworks hz na hzNa mimi nakubal kuwa mambo ni yale yale tu ingawa around 2010's huko hiz frameworks were not there ukiacha bitu kama joomla!.
Lakim pia kwasasa huwez kataa akwamba mambo yameboreshwa zaid na kuwa simplified sana im the name of "increasing efficiency amd reducing effort/hardwork"
Ni kwel. Ila sitazami hil katika jicho la ajira au kupata kaz..Ni katika technical know how perapective. The impacts, the advantages etcShida inakua hata ww ukiamua kuwa mhafidhina Mazingira yanakulazimisha uendane nayo hata utoaji wa kazi za IT Watakwambia kabs ujue frameworks hz na hz
Ila coding tamu bn ufanye from the scratchNi kwel. Ila sitazami hil katika jicho la ajira au kupata kaz..Ni katika technical know how perapective. The impacts, the advantages etc
Na kwenye nchi mbali mbali kumbe kuna HKL?HKL na PCM ni kitu kimoja Ila hutoweza kuelewa hadi pale utakapotembea nchi mbalimbali
Masomo ya sanaa na masomo ya sayansi ni kitu kimoja.Na kwenye nchi mbali mbali kumbe kuna HKL?
Sisi tuliochukua tunajuta mbona.
Ofcz kwakua yote ni masomo, i agree but what about specifics!! Why hii iwe science why iwe considered as other. Walilenga nini? Na una maanisha nini kuhus hili?Masomo ya sanaa na masomo ya sayansi ni kitu kimoja.
Ofcz kwakua yote ni masomo, i agree but what about specifics!! Why hii iwe science why iwe considered as other. Walilenga nini? Na una maanisha nini kuhus hili?