Najilaumu sana kutokuchukua masomo ya Science, hasa Physics na Chemistry

Umeona eeh!! Kuna vi algorithm vinahitaj mathematical thinking sana.. ila hata hesbu ya uchumi inatosha maana si umesoma Basic applied mathematics..inatosha sana
 
Science inahitaji uwekezaji mkubwa wa akili na mali, hapa Tz bado hatuwezi hayo madude
 
No, huwatendei haki watoto hao.
ni watoto wangu ujue, mimi nimeshaishi maisha mengi na nimejua nani anapata shida akisoma masomo yepi. sitaeleza sana hapa kwasababu nitakatisha watu tamaa. ial hivyo ndio nilivyoamua. kwangu sihitaji ile mtoto anasema sijui nataka kuwa daktari, nataka kuwa rubani..nooo. though nawaacha wao wenyewe akili yao itakapodondoka ila wala siwezi kuwasapoti wasome sayansi.
 
Umeona eeh!! Kuna vi algorithm vinahitaj mathematical thinking sana.. ila hata hesbu ya uchumi inatosha maana si umesoma Basic applied mathematics..inatosha sana
Ila mimi si mzuri sana katika hesabu hata huko ilinitoa jasho hata nashangaa nilitoboa vipi. Sema shukrani kwa mkurya fulani bwana wambura alikuwa ananipga pindi la hesabu balaa.
 
Science inahitaji uwekezaji mkubwa wa akili na mali, hapa Tz bado hatuwezi hayo madude
Tunaweza vizuri tuuu..ila ndio hivyo walioshika dhaman ya elimu wameamua kupuuza.

Nut infavt hiv vitu sio vigumu wala sio vya ajabu hata kidogo. Ni mazingira tu kama ulivyosema
 
Umeona eeh!! Kuna vi algorithm vinahitaj mathematical thinking sana.. ila hata hesbu ya uchumi inatosha maana si umesoma Basic applied mathematics..inatosha sana
Nitajifunza programming taratibu na mimi nifurahie application ya hesabu..πŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Ila mimi si mzuri sana katika hesabu hata huko ilinitoa jasho hata nashangaa nilitoboa vipi. Sema shukrani kwa mkurya fulani bwana wambura alikuwa ananipga pindi la hesabu balaa.
Hiyo hiyo inatosha kadir umavyo zamia kwenye coding unajikita unazoea tu.
 
Nitajifunza programming taratibu na mimi nifurahie application ya hesabu..πŸ˜ƒπŸ˜ƒ
It is very interesting chief. Programming is really gud. Tena wala usi complicate madude makuuubwa...just with such simple algorthms.
 
Nitajie basi hata 'hints' nyepesi za kuanzia ...
Sawa mkuu am going to do that. U only need time hilo ndio angalizo kubwa.Anagalu 1 hour everyday kwa kuanzia πŸ˜…πŸ˜… ikishakukolea ndio yale utajikuta hulali kujua imekuaaje.. everytime akil inakimbia kimbia bush thinking πŸ˜‚πŸ˜‚
 
It is very interesting chief. Programming is really gud. Tena wala usi complicate madude makuuubwa...just with such simple algorthms.
Ajabu mimi nlienda verse versa.... Nlianza na python, nikaja php.
Nlijaribu kuanza na c++ lakini sikuwa naelewa mpaka nafikia concept ya objective oriented sikuwa naelewa kitu kabisa.
Ila niliposoma python nikaelewa.
Kuna siku nimepitia c++ nikawa ninaelewa kwa concepts zile zile za pythonza classes na objects nikawa naelewa
 
Science inahitaji uwekezaji mkubwa wa akili na mali, hapa Tz bado hatuwezi hayo madude
Nchi kama Singapore wamewezaje sisi tushindwe ?
Tukiamua tunaweza. Halafu return yake ni ya haraka sana, mfano Iran kwa muda mfupi tu wamewejeza na sasa wanaunda vitu vingi wao wenyewe na vingine wanauza nje ya nchi.
Mifano ni mingi sana.
 
Pole na hongera πŸ˜‚. Ndio changamoto ya self learning.

ila ungeanza kwenye C hapo mambo ungeona rahis sana. Huyu ndio mama lao anakupa foundation nzur sana kias kwamba ukija kugusa C++ Au Java au Php baa inakua rahis sana.

Pia ukii master vizuri PROCEDURAL style of programming bas ukija kwenye OOP unakua hupat tabu sana. Hii ni kwa mtazamo wa sisi old school programmers maana kwa sasa naona vijana wanatumia zaid FRAMEWORKS most of which zinakklazimisha kuingia moja kwa moja ku utilize Object Oriented style of Programming. Ni nzuri japo kwasisi wa kizaman mfano mimi sio mtumiaji kabisaaaa wa Frameworks..situmii kabisaaa
 
Wakitoboa wata enjoy life hili la Science
 
Kama kichwa si chenyewe lazima ujute
Hajuti kwa kutofaulu bali kwa kutumia muda vibaya. Unasoma vitu hamna pa ku apply professionally. Hata competency yenyewe haiwi kyk viwango vya kimstaifa ndoo maana hakuna mwanafizikia ana tech start up company. Wenzetu hadi dtop out anaweza anzisha kampuni za kiteknolojua.
 
Yes now mwendo wa framework sana kwenye kila kitu. Sema old school ni bora zaidi
 
Wakitoboa wata enjoy life hili la Science
Kibongo bongo not promissing kivile ila tu naipenda hesabu kwakua inafanya kichwa kinakua chepesi sana na hasa kama wataamua kundive kwenye IT world ambao ndio mpango mzima kwa dunia ya sasa...technology with mathematics vinaenda sambamba sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…