Najilaumu sana kutokuchukua masomo ya Science, hasa Physics na Chemistry

Unafaa sana kuwa zana ya kuhamasishia wanafunzi kuchukua science hasa Fizikia
 
Yes now mwendo wa framework sana kwenye kila kitu. Sema old school ni bora zaidi
Am not in love with them at all. Huwa naona kama zinakunyima total ownership of your own programm, yan unaanzia development not from scratch but from a certain level. Huwa naona kama ile underlying foindation concept ya program yako unakua unai miss ki namna flan.
Tofaut na ile kama ukichukulia mfano wa ujenzi, kuwa na fursa ya kuchimba msingi na kuanza kulanza toka tofali ya kwanza mpaka ya mwisho.
 
Mliosoma zamani na tuliosoma miaka ya karibuni mambo ni yale yale mabadiliko ni kidogo sana, kama saivi programming utaaanza na C...C++....java na concept ni zle zile, kuendelea hizi framework ni mwanafunzi mwenyewe ujiongeze ili uepuke coding from the scratch
 
Unachosema ni kweli. Kuna muda unawork na frameworks hata hujui nini kinafanyika exactly humo ndani.
Mimi nadhan old school way ndio better
 
Hakuna arts, ni Social sciences , EGM.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]baba mkalii weyeee khaaaah.
 
Mimi naitumia Physics kwenye uendeshaji wa boda boda kuna kona nikiiangalia najua yale mambo ya macentripetal force sitoboi au kuna yale mambo ya inertia nakuwa makini zaidi sifungi breki za ghafla😁
 
Unachosema ni kweli. Kuna muda unawork na frameworks hata hujui nini kinafanyika exactly humo ndani.
Mimi nadhan old school way ndio better
Now you get my point..you find alot is going on in the background of your own programm and u r not sure of what exactly are they!.
 
Na mimi nakubal kuwa mambo ni yale yale tu ingawa around 2010's huko hiz frameworks were not there ukiacha bitu kama joomla!.
Lakim pia kwasasa huwez kataa akwamba mambo yameboreshwa zaid na kuwa simplified sana im the name of "increasing efficiency amd reducing effort/hardwork"
 
Plus usisahau now day vijana wanafundishwa ku code straight from Frameworks tola wanaanza koz mpaka wanamaliza
 
Shida inakua hata ww ukiamua kuwa mhafidhina Mazingira yanakulazimisha uendane nayo hata utoaji wa kazi za IT Watakwambia kabs ujue frameworks hz na hz
 
Shida inakua hata ww ukiamua kuwa mhafidhina Mazingira yanakulazimisha uendane nayo hata utoaji wa kazi za IT Watakwambia kabs ujue frameworks hz na hz
Ni kwel. Ila sitazami hil katika jicho la ajira au kupata kaz..Ni katika technical know how perapective. The impacts, the advantages etc
 
HKL na PCM ni kitu kimoja Ila hutoweza kuelewa hadi pale utakapotembea nchi mbalimbali
 
Mimi nimefikisha miaka 34 ndio nimejijua kitu ninachokipenda ni Accounts ningekuwa Accountant.Na hii kitu iko kwenye familia kabisa,sema ndio hivyo majitu ya familia yetu mabinafsi sana.
 
Ufanisi ndo utaleta utofauti katika jambo ikiwa MTU aliyesoma kiswahili Kwa lengo la kuwa fanisi na kuifanya hii lugha kuleta utofauti mfano Msomi Wa arts Wa kiswahili anaweza kufika mbali Sana kumzidi MTU Wa Physics akiyekariri theory tu na ndo wengi.
Ofcz kwakua yote ni masomo, i agree but what about specifics!! Why hii iwe science why iwe considered as other. Walilenga nini? Na una maanisha nini kuhus hili?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…