Najiona maisha Yangu yakikosa nuru kabisa na kuelekea ukingoni

Tushacheza sana rafu ni mungu tu kama tukitoka salama.
Makahaba na wake za watu na wanafunzi wa vyuo kote huko tulipita pekupeku...
Sasa kilichobaki ni kuoa na kumrudia Yesu na kutulia.
Maana vijana,wengi tukitoka salama ni Yesu tu kaamua kutunusuru.
Ni sahihi, hata mi nikifikiria ni Mungu tu ametuvusha kwenye vipindi vigumu.
 
Pole sana kiongozi fanya checkup maisha yaendelee
Tuzingatie sana afya zetu vijana
 
alikuwa ameshachelewa
 
Pole sana kaka kapime kama ni HIV uanze dawa mapema but hope hatukupata HIV
 
wewe unaathirika na hofu kuliko tatizo lenyewe,pili fanya matibabu sahihi ili kuondoa tatizo la afya,gono linatibika vizuri tu.kuhusu ukimwi sio lazima ukimlala mtu mwenye ukimwi na wewe unaupata hapohapo
 
daaah!...kwa mara ya kwanza ndo nasikia jf inachukiwa kwa kuambukiza HIV mtu....🥲🥲
 
Smart911 love mfano ikikukuta scenario kama hio utafanyeje?? Utamuacha ama nae utamtibu muendeleze kupeana mautraaaaa?? 🤔
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…