Zombie Sikutaji Humu Eeh
JF-Expert Member
- Jul 2, 2024
- 228
- 667
- Thread starter
- #181
Huyo hahamin -me hajawahi kumiss kwa muda mrefu kama hivi, nina wasi wasi na wewe Zombie😂
Dah yani hata sijuiSasa wewe mbona umeshindwa kuilamba asali ya hiyo pisi?
Dah we unamingapi ili nikikuona nikuamkieKumbe bado kachalii sana sikulaumu kwa hilo
Hata mimi ndivyo ninavyoonaUsingle hauna Raha yoyote sijafanikiwa kuona iyo furaha mnayoisema
Dah napenda sana unavyo hamasishaHuyo wako, mtapotezeana kwa muda ila baada ya muda mtakuwa pamoja.