Najipendekeza au niachane nae

Najipendekeza au niachane nae

min -me hajawahi kumiss kwa muda mrefu kama hivi, nina wasi wasi na wewe Zombie😂
Huyo haha
Sasa wewe mbona umeshindwa kuilamba asali ya hiyo pisi?
Dah yani hata sijui
Kumbe bado kachalii sana sikulaumu kwa hilo
Dah we unamingapi ili nikikuona nikuamkie
Usingle hauna Raha yoyote sijafanikiwa kuona iyo furaha mnayoisema
Hata mimi ndivyo ninavyoona
Huyo wako, mtapotezeana kwa muda ila baada ya muda mtakuwa pamoja.
Dah napenda sana unavyo hamasisha
 
Ningesema kitu ila atanijua mimi nani alafu radha ya hii akaunti ikaishia hapa

Sio sana ila sometime sinichi japo ni mwamba ambaye hana noma na alishwahi kumtokea mamba mmoja anaita lee something akataka mpaka wakutane huko songe ila kama alikataliwa ki aina so mambo yakawa out of control
We sema tu, tumwombe ruhusa ila sharti na wewe ujulikane
 
Back
Top Bottom