Najipendekeza au niachane nae

min -me hajawahi kumiss kwa muda mrefu kama hivi, nina wasi wasi na wewe Zombie😂
Huyo haha
Sasa wewe mbona umeshindwa kuilamba asali ya hiyo pisi?
Dah yani hata sijui
Kumbe bado kachalii sana sikulaumu kwa hilo
Dah we unamingapi ili nikikuona nikuamkie
Usingle hauna Raha yoyote sijafanikiwa kuona iyo furaha mnayoisema
Hata mimi ndivyo ninavyoona
Huyo wako, mtapotezeana kwa muda ila baada ya muda mtakuwa pamoja.
Dah napenda sana unavyo hamasisha
 
We sema tu, tumwombe ruhusa ila sharti na wewe ujulikane
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…