Mtani uchochezi huu sasaWengine wamemaliza vyuo vikuu mwezi huu wako home, wengine wanasubiria kwenda vyuoni mwezi Oktoba, ama kweli cha moto tutakipata hapa JF
Baelezeee....
Unamaana kila kukicha ni malalamiko tu, au ndio watu hawana cha kufanya wanaamua kujituliza na JF...Wengine wamemaliza vyuo vikuu mwezi huu wako home, wengine wanasubiria kwenda vyuoni mwezi Oktoba, ama kweli cha moto tutakipata hapa JF
Una haki uongee mkuu kwa Yale unayohisiWengine wamemaliza vyuo vikuu mwezi huu wako home, wengine wanasubiria kwenda vyuoni mwezi Oktoba, ama kweli cha moto tutakipata hapa JF
Lengo lilikua hilo nipende kwa Kiwango lkn kidume nikanogewa nikaingia mazima
Shukran mkuu,najitahidiKuachwa kuachwa, kuachwa ni shughuli pevu!!
Pole sana mkuu, yashinde maumivu na usonge mbele
Shukran na ntazingatia ushaur wakoWewe pole sana jitahid tu kusahau na cku nyingne usipende sanaaa kama wali maharage
Mkuu hawa viumbe hawana hati miliki, inatakiwa uwe nao kama gari ya kuazima ukijua mwenyewe kesho analifuata, we jiulize tu, wapo wanaopewa kila kitu na bwana zao lkn bado wanacheat, wapo ambao ndo mwenzangu na mie unakazana kusugua mti ili upate moto lkn napo bado atacheat, akili kumkichwa, usijaribu kabisa kujiaminisha eti hawezi kwendaLengo lilikua hilo nipende kwa Kiwango lkn kidume nikanogewa nikaingia mazima
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimejifunza asee kwa hii kituMkuu hawa viumbe hawana hati miliki, inatakiwa uwe nao kama gari ya kuazima ukijua mwenyewe kesho analifuata, we jiulize tu, wapo wanaopewa kila kitu na bwana zao lkn bado wanacheat, wapo ambao ndo mwenzangu na mie unakazana kusugua mti ili upate moto lkn napo bado atacheat, akili kumkichwa, usijaribu kabisa kujiaminisha eti hawezi kwenda
Sent using Jamii Forums mobile app