Najisikia Kama moyo kupasuka

Najisikia Kama moyo kupasuka

koba lee

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2016
Posts
981
Reaction score
1,606
Kwel mapenz yanauma,nimeona bora nije niseme humu labda moyo utapoa,niliyempenda kaniacha asee,
Nilimpenda kuliko chochote na nimemkosea mm,hata kupiga cm naogopa maana naweza kupiga nikakuta hapatikani ndo nikazid kuzidisha wenge,
Hapa hata Kazi haziendi.
Kazi kwelkwel

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuachwa kuachwa, kuachwa ni shughuli pevu!!

Pole sana mkuu, yashinde maumivu na usonge mbele
 
Wengine wamemaliza vyuo vikuu mwezi huu wako home, wengine wanasubiria kwenda vyuoni mwezi Oktoba, ama kweli cha moto tutakipata hapa JF
Unamaana kila kukicha ni malalamiko tu, au ndio watu hawana cha kufanya wanaamua kujituliza na JF...
 
Wewe pole sana jitahid tu kusahau na cku nyingne usipende sanaaa kama wali maharage
 
Dah.... Ulizaliwa bana? [emoji13] [emoji13]

Sent from my chips yai using JamiiForums Mobile App
 
Lengo lilikua hilo nipende kwa Kiwango lkn kidume nikanogewa nikaingia mazima

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hawa viumbe hawana hati miliki, inatakiwa uwe nao kama gari ya kuazima ukijua mwenyewe kesho analifuata, we jiulize tu, wapo wanaopewa kila kitu na bwana zao lkn bado wanacheat, wapo ambao ndo mwenzangu na mie unakazana kusugua mti ili upate moto lkn napo bado atacheat, akili kumkichwa, usijaribu kabisa kujiaminisha eti hawezi kwenda

Nimejifunza asee kwa hii kitu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom