Najisikia vibaya sana, Mpangaji mwenzangu ananitesa kimapenzi

Najisikia vibaya sana, Mpangaji mwenzangu ananitesa kimapenzi

Iko hivi hapa nimepanga niko natoka kimapenzi na mpangaji mwenzangu.

Kinachoniudhi huyu bi mdada mara aje na wanaume awapikie wale wasepe, mara aondoke akalale hukoo simuoni kurudi.

Daaah ni shida sana
Chunga sana calio laco, ukishindwa kuji kontrol huyo npangaji mwenzako atakufikisha sehemu mbaya sana
 
received_745313560368153.jpeg
 
Iko hivi hapa nimepanga niko natoka kimapenzi na mpangaji mwenzangu.

Kinachoniudhi huyu bi mdada mara aje na wanaume awapikie wale wasepe, mara aondoke akalale hukoo simuoni kurudi.

Daaah ni shida sana
gentleman,
huenda hiyo ndiyo kazi yake ya kujipatia riziki, na wewe hukupatia bure kulingana na unavyoonekeno na hali yako.

Nadhani ni muhimu kua na shukran kwake zaid ya lawama kwasababu hana agano wala commitments na wewe na zaid sana hawajibiki kwako pekee 🐒
 
Hammer11
1. Unamlipia kodi ,
2. Unampa hela ya matumizi
3. Unamnunulia nguo namahitaji yote
4. Unamlipia maji na umeme

Umemtutafutia kazi ulimleta hapo watu wa humu jf hasa wanaume wanataka kuwapa wanawake mipaka ambayo wao hawawezi majuku yake .
Kivip sasa
 
Back
Top Bottom