Najisikia vibaya sana, Mpangaji mwenzangu ananitesa kimapenzi

Iko hivi hapa nimepanga niko natoka kimapenzi na mpangaji mwenzangu.

Kinachoniudhi huyu bi mdada mara aje na wanaume awapikie wale wasepe, mara aondoke akalale hukoo simuoni kurudi.

Daaah ni shida sana
Una umri Gani mkuu
 
Nyati toka lini akafugika?....ushakula achia na wengne mkuu acha ubinafsi
 
  • Kicheko
Reactions: EEX
Iko hivi hapa nimepanga niko natoka kimapenzi na mpangaji mwenzangu.

Kinachoniudhi huyu bi mdada mara aje na wanaume awapikie wale wasepe, mara aondoke akalale hukoo simuoni kurudi.

Daaah ni shida sana
Una uhakika hauna matatizo ya akili?Hebu tikisa kichwa chako kidogo.
 
Iko hivi hapa nimepanga niko natoka kimapenzi na mpangaji mwenzangu.

Kinachoniudhi huyu bi mdada mara aje na wanaume awapikie wale wasepe, mara aondoke akalale hukoo simuoni kurudi.

Daaah ni shida sana
Endelea kumlipia kodi mkuu

Ukipeleka posa uje kutujuza pia
 
We jamaa unashida, mpangaji mwenzako na ni mpenzi wako, wanaume wanaingia kwenye chumba chake na wewe uko hapo hapo unawaona, anawapikia unawaona wanakula, wanaondoka naye unawasindikiza kwa macho ukiwa umejifungia ndani kwako na unachungulia kwa dirisha, analala huko huko na wewe umebak mwenyewe. Yamkini ukimuuliza atakuambia ni kaa zangu na wewe upo tu. Unastahili kuchapwa fimbo 12 uzinduliwe urudi kwenye uanaume wako
 
Iko hivi hapa nimepanga niko natoka kimapenzi na mpangaji mwenzangu.

Kinachoniudhi huyu bi mdada mara aje na wanaume awapikie wale wasepe, mara aondoke akalale hukoo simuoni kurudi.

Daaah ni shida sana

Anauza
 
Mweke ndani uone kama hatotulia ..... ....wewe mwenyewe ume mweka mkao wa eat and run unadhani kuna watu hawalipendi hilo jimbo na wanaliona liko wazi

Usimpotoshe mwenzako
 
Huyu amepangiwa na danga lake, anatunzwa na nimume wa mtu ila halipii kila kitu na hajui kumkata vizuri sasa wewe umeona analeta hao watu unadhani ndio kazi yake hapana wanalipa bills , kivipi nyie wanaume wa kf ni wachoyo, wabinafsi na wanafiki, mtu anashida ya haraka anampiga chenga , halafu anataka apewe utapewa sana.

watu wanatunzwa na wanajaliwa usione kizuri kilee kinatunzwa . Humu wanaume wanakimbilia inbox halafu matunzo zeroo wanadhani wanadada wanaishi kimiujiza wanadada wanatunzwa nalipiwa bills nakutolewa out nakujaliwa
Mademu wenye mentality kama yako hutombwa na kila mtu mwenye pesa...
 
Iko hivi hapa nimepanga niko natoka kimapenzi na mpangaji mwenzangu.

Kinachoniudhi huyu bi mdada mara aje na wanaume awapikie wale wasepe, mara aondoke akalale hukoo simuoni kurudi.

Daaah ni shida sana
Kama unataka usipigiwe Fanya mchakato awe wife
 
Iko hivi hapa nimepanga niko natoka kimapenzi na mpangaji mwenzangu.

Kinachoniudhi huyu bi mdada mara aje na wanaume awapikie wale wasepe, mara aondoke akalale hukoo simuoni kurudi.

Daaah ni shida sana
😄😄 Bilashaka ww n Mwana Chuo
 
Huyu amepangiwa na danga lake, anatunzwa na nimume wa mtu ila halipii kila kitu na hajui kumkata vizuri sasa wewe umeona analeta hao watu unadhani ndio kazi yake hapana wanalipa bills , kivipi nyie wanaume wa kf ni wachoyo, wabinafsi na wanafiki, mtu anashida ya haraka anampiga chenga , halafu anataka apewe utapewa sana.

watu wanatunzwa na wanajaliwa usione kizuri kilee kinatunzwa . Humu wanaume wanakimbilia inbox halafu matunzo zeroo wanadhani wanadada wanaishi kimiujiza wanadada wanatunzwa nalipiwa bills nakutolewa out nakujaliwa
Dah kazi ipo kwakweli,
 
Iko hivi hapa nimepanga niko natoka kimapenzi na mpangaji mwenzangu.

Kinachoniudhi huyu bi mdada mara aje na wanaume awapikie wale wasepe, mara aondoke akalale hukoo simuoni kurudi.

Daaah ni shida sana
Unachangia mwanamke na wanaume wenzako halafu unatusimulia ili iweje wakati unalea ujinga? Hivi hapo inahitaji elimu ya chuo kikuu kutambua kuwa huyo demu ni malaya? Wewe mchukulie kama dada poa yoyote hivyo hutaona wivu tena ukiwa na kutu anakusaidia kuitoa basi mkaushie na staili yake ya maisha. Nimalizie tu kusema wewe ni domo zege vinginevyo usingekuja kulalamika hapa.
 
Back
Top Bottom