Najisikia vibaya sana, Mpangaji mwenzangu ananitesa kimapenzi

Iko hivi hapa nimepanga niko natoka kimapenzi na mpangaji mwenzangu.

Kinachoniudhi huyu bi mdada mara aje na wanaume awapikie wale wasepe, mara aondoke akalale hukoo simuoni kurudi.

Daaah ni shida sana
😂😂😂
 
Si na wewe unaingiza mademu

Wewe hutaki alete wanaume wakati wewe umeoa

Iko hivi hapa nimepanga niko natoka kimapenzi na mpangaji mwenzangu.

Kinachoniudhi huyu bi mdada mara aje na wanaume awapikie wale wasepe, mara aondoke akalale hukoo simuoni kurudi.

Daaah ni shida sana
Daah wee jamaa acha uboya na wewe siutafute demu wa kulala hukohuko.
 
Iko hivi hapa nimepanga niko natoka kimapenzi na mpangaji mwenzangu.

Kinachoniudhi huyu bi mdada mara aje na wanaume awapikie wale wasepe, mara aondoke akalale hukoo simuoni kurudi.

Daaah ni shida sana
🚮🚮
 
Once mwanamke akinicheat nikagundua km bado nampenda nitapiga kimya namega kisela, ila hataona hrla yangu mbovu nampa, tunakulana tu kila mtu anachukua 50 zake. Kama simpendi tena hatoniona atapigwa matukio mpaka asalimi amri
 
Iko hivi hapa nimepanga niko natoka kimapenzi na mpgaji mwenzangu.

Kinachoniudhi huyu bi mdada mara aje na wanaume awapikie wale wasepe, mara aondoke akalale hukoo simuoni kurudi.

Daaah ni shida sana

Iko hivi hapa nimepanga niko natoka kimapenzi na mpangaji mwenzangu.

Kinachoniudhi huyu bi mdada mara aje na wanaume awapikie wale wasepe, mara aondoke akalale hukoo simuoni kurudi.

Daaah ni shida sana
Nipe namba yake nimuonye
 
Iko hivi hapa nimepanga niko natoka kimapenzi na mpangaji mwenzangu.

Kinachoniudhi huyu bi mdada mara aje na wanaume awapikie wale wasepe, mara aondoke akalale hukoo simuoni kurudi.

Daaah ni shida sana
Kwa hiyo Mangi hela yote unayohonga ndiyo inakuwa ya kuhudumia wanaume wanaojua kugegeda? Aiseee, aibu sana
 
Back
Top Bottom