Najisikia vibaya sana, Mpangaji mwenzangu ananitesa kimapenzi

Najisikia vibaya sana, Mpangaji mwenzangu ananitesa kimapenzi

gentleman,
huenda hiyo ndiyo kazi yake ya kujipatia riziki, na wewe hukupatia bure kulingana na unavyoonekeno na hali yako.

Nadhani ni muhimu kua na shukran kwake zaid ya lawama kwasababu hana agano wala commitments na wewe na zaid sana hawajibiki kwako pekee 🐒
Ukweli mkubwa
 
Kivip sasa
Huyu amepangiwa na danga lake, anatunzwa na nimume wa mtu ila halipii kila kitu na hajui kumkata vizuri sasa wewe umeona analeta hao watu unadhani ndio kazi yake hapana wanalipa bills , kivipi nyie wanaume wa kf ni wachoyo, wabinafsi na wanafiki, mtu anashida ya haraka anampiga chenga , halafu anataka apewe utapewa sana.

watu wanatunzwa na wanajaliwa usione kizuri kilee kinatunzwa . Humu wanaume wanakimbilia inbox halafu matunzo zeroo wanadhani wanadada wanaishi kimiujiza wanadada wanatunzwa nalipiwa bills nakutolewa out nakujaliwa
 
Hivi wewe ulishawahi kuwekewa spilit sehemu za siri(epuka majirani ili uishi kwa uhuru mzee ya nini kujipa mawaz0)
Iko hivi hapa nimepanga niko natoka kimapenzi na mpangaji mwenzangu.

Kinachoniudhi huyu bi mdada mara aje na wanaume awapikie wale wasepe, mara aondoke akalale hukoo simuoni kurudi.

Daaah ni shida sana
 
Back
Top Bottom