New Designer
JF-Expert Member
- Aug 8, 2025
- 551
- 879
Habari wakuu,
Kuna watu wanapitia changamoto za kupata logo au website au labda pengine wamekwama na wanahitaji usaidizi, hivyo najitolea kuwasaidia kuwatengenezea logo au website ndani ya masaa 24 kulingana na udhoefu wangu ndani ya mda huo ninakuwa tayari nishawatengenezeeni.
Kwahiyo kama na wewe ni mmoja wa unaepitia changamoto hizo au unahitaji msaada basi nitakutengenezea bure kabisa kwa muda mfupi.
Nakaribisha maswali kuhusu website au logo, au maswali mengine yoyote yanayohusiana na vitu hivyo nitajibu hapa hapa jukwaani na nitakutengenezea website na kuirusha hapa hapa jukwaani ili kila mmoja aone.
Lengo langu ni kufungua fursa mpya kwa watu tofauti tofauti kuonesha ubunifu na kipaji changu.
Karibuni na Asanteni sana
Mkuu kiswahili kigumu siunaona hata wewe umekosea pia.Ati udhoefu 🤣
Mkuu kiswahili kigumu siunaona hata wewe umekosea pia.
Ati ❌
Heti✅
Au ni "Ati" mkuu ?Heti? 🤣🤣
acha ujuajiNi Ati mkuu
Heti labda ni kipogoro
Siachiacha ujuaji
Daah kumbe mkuu asante sana aisee kiswahili kigumu sanaNi Ati mkuu
Heti labda ni kipogoro
Kiasi chake mara nyingi ni kigumu kuongea sio kuandikaDaah kumbe mkuu asante sana aisee kiswahili kigumu sana
Heti?!Mkuu kiswahili kigumu siunaona hata wewe umekosea pia.
Ati ❌
Heti✅
Mkuu logo hiyo ni ya kampuni au biashara vipi jina la biashara au kampuni, ungependa iwe na rangi gani ? vipi background yake ungependa iwe na rangi gani pia ?Habari ndugu natamani nipata logo ya electronics USED KAMA MPYA
Badala ya kuwah fursa, we unakimbilia kuona udhoefu😁Ati udhoefu 🤣
Nafikiri inategemeana na mtu mkuu huyu hawezi hiki huyu kile watu wanaweza kutofautiana.Kiasi chake mara nyingi ni kigumu kuongea sio kuandika
Badala ya kuwah fursa, we unakimbilia kuona udhoefu😁
Ni kweli mkuuNafikiri inategemeana na mtu mkuu huyu hawezi hiki huyu kile watu wanaweza kutofautiana.
Logo kali mkuuLogo inakuwa ya viwango au ndo kama ile ya "Made in Tanzania"
Heti nini? Huna udhoefu? Jitahidi huhupate mkuhu 😂Udhoefu wa hizo fursa sina 😂