Joanah
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 26,721
- 98,896
Chukua udhoefu wa kutengeneza logo 😂Heti nini? Huna udhoefu? Jitahidi huhupate mkuhu 😂
Chukua udhoefu wa kutengeneza logo 😂Heti nini? Huna udhoefu? Jitahidi huhupate mkuhu 😂
Mkuu hii ni nini, hebu nipe maelezo zaidi ukinipa maelezo ya kutosha nakutengenezea sahiviMkuu nitengenezee (BUPEK)
Mnapokuwa mnamaliza na kicheko huko mwisho mnafanya Uzi wa watu uonekane kichekesho😂Heti nini? Huna udhoefu? Jitahidi huhupate mkuhu 😂
Jina la kampunMkuu hii ni nini, hebu nipe maelezo zaidi ukinipa maelezo ya kutosha nakutengenezea sahivi
Ungependa niweke rangi gani kwenye logo vipi background niweke picha au color ya rangi gani na kama ni picha nieleze ni ya aina gani ili nitengeneze kitu unachohitaji moja kwa mojaJina la kampun
Angejua angekuacha tu dah nimecheka 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Heti? 🤣🤣
Ungependa niweke rangi gani kwenye logo vipi background niweke picha au color ya rangi gani na kama ni picha nieleze ni ya aina gani ili nitengeneze kitu unachohitaji moja k
Naomba niwee rangi nyekundu then background niwekee nyeusi nikimaanisha maandish mekunduUngependa niweke rangi gani kwenye logo vipi background niweke picha au color ya rangi gani na kama ni picha nieleze ni ya aina gani ili nitengeneze kitu unachohitaji moja kwa moja
ok sawaNaomba niwee rangi nyekundu then background niwekee nyeusi nikimaanisha maandish mekundu
Angejua angekuacha tu dah nimecheka 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Ushawahi kuona mtu anataka akulambe kofi kwa nguvu wakati analifyatua ukainama mkono wake ukaenda kujipigiza kwenye ukuta,au nguzo la zege pembeni yako,anaishia kuugulia maumivu makali.🤣🤣🤣🤣🤣
Si ndiho mahana yake.😂😂😂 mkuu umeelezea kwa umakini sana si HETI?
😂😂😂Si ndiho mahana yake.
Sio HETI ni ETI..!Mkuu kiswahili kigumu siunaona hata wewe umekosea pia.
Ati ❌
Heti✅
Sio ❌Sio HETI ni ETI..!
Jana kuna mtu nimetengenezea website bure mkuu mimi natafuta connection mpya hapa naanza kwa kujitolea bure kabisa wema hauozi.Kuna watu watadhani kweli ni bure. Mwaka 2025 cha bure ni salamu tu
Yes, hebu ni pm mkuu let's discussChief nitengezee website
Ni ya biashara ni jina la biashara rangi iwe nyekundu background nyeupe mkuuMkuu logo hiyo ni ya kampuni au biashara vipi jina la biashara au kampuni, ungependa iwe na rangi gani ? vipi background yake ungependa iwe na rangi gani pia ?