Msemahaki kapata Rungu
JF-Expert Member
- Dec 2, 2025
- 267
- 149
Nielewe twende pamoja. Kama wewe ICC NDIO inakunyima usingizi basi si kila mtu yupo hivyo.Lazima afikishwe ICC haki itimie damu za wasio na hatia zinamlilia
Kuliko wew? Nafurahi sana wakati Masikini anajiliwaza.Kinachonipa amani kwa sasa nina uhakika huyu bibi sasa hivi hana amani na usingizi hapati, kifupi anapitia wakati mgumu sana.
Maana kama ataendelea kuishi Zanzibar I'm 100% atakua targeted.
Samia kwa maumivu aliyowasababishia watanganyika hata kama atakua ametoka Madarakan watakua bado wanamsaka.
Sio shujaa Dr SamiaAtaandika kitabu na kujifanya anajutia aliyofanya
Tuwekee vifungu basi mbona unatukimbiza mchakamchaka bila references!you cant convict a SITTING PRESIDENT and by LAW ICC is below the president
Sikia wewe fisadi chalamila huu mwaka hamtoboi ICC inawasubiri mbwa nyie.Kuliko wew? Nafurahi sana wakati Masikini anajiliwaza.
Wanasiasa daaa.......wanatuchezea akili....huyo apelekwe ICC akae huko huko.....miaka 10Ataandika kitabu na kujifanya anajutia aliyofanya
We jamaa?πKaburini.
Who are you?πππIQ ndogo, huwezi kuwaambia wazungu wanaotawala hii Dunia ati " Who are you" hawatakuacha salama.
Hata Mrusi, Mchina na Mkorea hawezi kukubaliana ujinga na ww kuzika watu majeruhi ati wakafie shimoni kupoteza ushahidi.
Kagame mwenyewe ni katili ila kakukataa.
Your days are numbered...
Kasome tena sheria zinazo govern ICCyou cant convict a SITTING PRESIDENT and by LAW ICC is below the president
Kusema, who are you?... Kuwaambia wazungu, mnadhani nyie ni masters wetu...ni hivyo vihela vichache mnavyotupa...IQ ndogo, huwezi kuwaambia wazungu wanaotawala hii Dunia ati " Who are you" hawatakuacha salama.
Hata Mrusi, Mchina na Mkorea hawezi kukubaliana ujinga na ww kuzika watu majeruhi ati wakafie shimoni kupoteza ushahidi.
Kagame mwenyewe ni katili ila kakukataa.
Your days are numbered...
Tunato.mba.na nae mpaka 2035,,, hiyo sio filam ya kachumbar imekua season kabisa, full ma episodes na ma documentary ya kumwaga.Tunatamba nae hadi 2035