Najiuliza sana Ubomoaji wa misikiti India

Akikujibu nishtue. Akikujibu nipo pale
 
Mtu kama huyo hupaswi kumjibu hata kidogo Kwasababu unamuona tayari kwenye moyo wake anachuki.
Achana nae kiongozi.
Hamna kaka kuna muda wajinga kama hawa ni vema kuwazindua akili. Anadhani Israel anapambana na uislam ilhali Israel anapambana na jamii yeyote ile inayopinga uzayuni. Wakristo wenzao waliuawa sana 1960 Lebanon kwa mkono wa Israel ila hilo hawalijui. Hapo hapo Israel Yesu anajulikana kama mtoto wa zinaa na hafai kutajwa hadharani ila hilo hawalijui.
 
Mtu mwenye akili timamu hawezi kua muislamu.

Pwani ya afrika mashariki inaogoza kwa mashoga zenji hadi maasikari polisi ni mshoga.
Ila mtu mwenye akili timamu anaweza akawa christian si ndy maana yake. Hii nchi hii Ina udini sema ni vile sababu kubwa ya kuleta hio vita haijapatikana. Mungu aepushe lakini juilize wewe una akili kiasi gani kuzidi baadhi yahao Muslim ambao wamekuzidi Kila kitu Pesa, elimu, akili, nidhamu na mbaka malengo ukipata jawabu nishtue nije nikujibu.
 
Sikionla kufa halisikii dawa ndugu yangu.
 
Anatukana waislam ilhali kihistoria waratibu wa uhuru waislam Nyerere alikua muwakilishi tu wa hilo jopo. Hata ikulu ilijengwa kwa architecture ya kiislam.
Wanaoongoza kuajiri vijana na kuwekeza hapa nchini waislam kina Bakhresa,GSM,Mohamed Dewji,Asas n.k.
 
Unaweza Kuta hata boss wake aliemuajiri ni muislamu sema tu Bado anakazq fuvu.
 
Ivi ndugu zangu mnaona India inavyo bomoa misikiti na kupinga harakati nyingi za kiislamu, em tujuzane nn shida kwa India hasa suala la uislamu ndo hawautaki nchini kwako???


View: https://www.instagram.com/reel/Dd83ARlFLew/?stkn=cTJydWZoeXUzYXI1
Hiyo ni kanuni ya mwenye nguvu mpishe tu inafanya kazi.

Uislamu, kama dini iliyoenea kwa upanga, unatakiwa kujua hilo na kulikubali tu kwamba kuna sehemu umezidiwa utaonewa, kuna sehemu unaweza kufurukuta.

Dini ni siasa ya kale iliyovikwa utakatifu wa Mungu asiyethibitishika.

Ukielewa hili, utaona kuwa kuna tofauti ndogo sana kati ya hizi dini na siasa za kupigania fursa tu.

Ndiyo maana watu tunaotaka haki ya kweli tumekataa kuchotwa akili na migawanyiko ya kidini duniani.
 

Okay
 

Yes mwenge nguvu ndo anaishi
 
Uislamu ni mzuri ila Sasa hapo kwenye chuki za kuuana na mambo ya kuitana makafiri ndio kidogo hicho kipengele waanzilishi wa dini hiyo walizingua.
 
Hoja yako ni sawa mkuu kwamba waislam waliteka maeneo ya Hindu na kugeuza misikiti ila hyo ni history ya zamani sana ,,
-Dini ya Hindu ndy dini iliyokuwapo India zamani kabla ya uislam kuingia,,
..Kuanzia mwaka 1190 ndy uislam ulianza kuingia India na mwaka 1200 ndy utawala wa kifalme wa kiislam uliingia rasmi India.
Hadi miaka ya 1560 ndy baadhi ya sehem ya India ilikuwa inatawaliwa na Hindu...

Ninachotaka kusema ni kwmba uislam ulikuwa India kwa miaka mingi Sana kabla ya kuja British na kutawala na walijenga misikiti mingi sn.....na hata hao waislam wa sasa history inasema walikuwa Hindu,kwahyo sio sababu ya kuvunja miskiti sasa kwamba walichukuwa maeneo yao ya temples...
Zile vurugu za kujitenga na Pakistan mwaka 1947 ,ndy wanaziendeleza hadi sasa...
Hawana sababu za msingi kuvunja miskiti,,,ni vile tu Hindu kwa sasa ni wengi na wana nguvu serikalini kuliko Muslims wa hapo.,
Wana uwezo wa kufanya chchote kwa yeyote asiye Hindu.
 
Mkuu kutoka 1947 mpaka leo bado wanakuwa maskini tu?
Walipokonywa kila kitu mkuu,,,zile vurugu ziliwanyima haki ya mambo mengi waislam,,wotee walifukuzwa kwenda Pakistan na hata leo kuna ubaguzi mkubwa sn ktk kila sekta za kazi nk,,, ukiwa Muslim hupewi kipaumbele.
Mimi nimekaa pale napajuwa vzr sn.
Wahindi wanabaguwana sn kimajimbo na kidini., nk.
Na hata Pakistan ombaomba ni Hindu na wakrisro....sababu Hindu pia walifukuzwa huko warudi India na walipokonywa mali pia na wapakistani..

(A)Pakistan- mpakani.
(B)Hindustan -uhindini.
Baada ya British kuondoka India na wahindu walikuwa wengi sn Hindustan na kule Pakistan waislam walikuwa wengi sana.
Ndy wakatengana ili kwenye waislam wengi na kwenye Hindu wengi kila mtu abaki kwao.,hapo ndy matajiri wengi waligeuka masikini kukimbia inchi..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…