Najiuliza tu; hivi katiba mpya ikiandikwa, siasa na sera za majukwaani zitakuwa nini?

Kazanazo

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2023
Posts
7,875
Reaction score
12,665
Kule Kenya ili uteke kundi la watu wakuchague mbali na maendeleo na raia kupata mkate wa kila siku lazima utaje ukanda na ukabila ndio ueleweke, utasikia mlima Kenya sijui waluo na wakikuyu na mambo kama hayo

Je kwetu sisi itakuwaje? Midomo imezibwa siku nyingi siku ikiachiwa itaongea nini? Najiuliza
 
Kumbe wewe hujui kitu
 
Kwanza unatoa mwiba uliopo kwenye kalio ,kisha unaketi ndiyo unatoa mwiba wa mguuni.

Kwasasa Mwiba wa kalio ni katiba mpya ,tume huru ya uchaguzi - kwenye katiba mpya ndipo tutapata wakuu wa majeshi ambao hawachaguliwi na Rais ,tutapata majaji ambao hawachaguliwi na Rais ,RC/DC na vyeo vingine vya hisani ,tukishapata hao watu means utekaji utapotea ,uhuni utaondoshwa.

Then ndiyo tunakuja kutoa mwiba wa mguuni -Rasilimali za nchi zitunufaishe waTZ wote ,nchi inarudi nyuma kwasababu ya ufisadi ,kiongozi inatakiwa apate kipato cha halali ,wawekezaji wanatoa rushwa kisha wanaiba rasilimali za nchi.
 
Baada ya yote hayo siasa za majukwaani zitakuwa nini
 
Kule Kenya ili uteke kundi la watu wakuchague mbali na maendeleo na raia kupata mkate wa kila siku lazima utaje ukanda na ukabila ndio ueleweke, utasikia mlima Kenya sijui waluo na wakikuyu na mambo kama hayo

Je kwetu sisi itakuwaje? Midomo imezibwa siku nyingi siku ikiachiwa itaongea nini? Najiuliza
Katiba mpya
 
Kusema Ukweli Ukijitahidi kidogo tu kufikiria zaidi ya hapo ulipofikia utajikuta umepata jambo litakalofuata baada ya hapo
Fatilia siasa za Nchi za wenzetu ulimwengu wa kwanza
Jukwaani wanaongeaga nini japo wana maendeleo tayari

ili ufike hapa Uondoe kwanza Itikadi kali ya Chama kichwani
 
Katiba mpya
Mkuu nahisi swali nilalojiuliza halijaeleweka kwa wengi, uhuru wa kidemokrasia una matokeo mengi na moja ya matokeo ni kuwepo kwa uhuru wa siasa za majukwaa ambapo kila chama au mwanasiasa atanadi sera zake jukwaani ili kutaka kuungwa mkono wakati wa box la kura

Kwa hapa kwetu hicho kitu hakijafanyika kwa mda mwingi, kinachofanyika zaidi ni kupambania katiba ili kuweka sawa box la kura, haya yamekuwa yakifanyika katika mikutano ya hadhara hata wakati wa kampeni utawaona wanasiasa hasa wa upinzani wakinadi katiba mpya na mageuzi ya sera za uchaguzi

Ninachojiuliza baada ya sera hizi za mageuzi kutakuwa na sera gani midomo hii iliyozibwa ikiruhusiwa?
 
Kusema Ukweli Ukijitahidi kidogo tu kufikiria zaidi ya hapo ulipofikia utajikuta umepata jambo litakalofuata baada ya hapo
Fatilia siasa za Nchi za wenzetu ulimwengu wa kwanza
Jukwaani wanaongeaga nini japo wana maendeleo tayari

ili ufike hapa Uondoe kwanza Itikadi kali ya Chama kichwani
Nimetolea mfano wa Kenya tunachoona wakiongelea vipi upande wetu tutaongelea kitu gani kuteka kundi la kura
 
KWANI MIDOMO ILIZIBWA KUHUSIANA NA UKABIA KATIKA KATIBA YA SASA AU KATIBA INAYOPENDKEZWA INATETEA UKABILA? If I am getting you wrong, correct me!
You are totally wrong

Katiba mpya ni kwa ajili ya kuweka uwanja wa siasa katika mizania sawa, je ikipatikana sera za wanasiasa zitakuwa nini? Je tutakuwa kama Kenya au tutawazidi kidogo
 
Back
Top Bottom