The Guitarist
JF-Expert Member
- Jul 18, 2015
- 3,599
- 5,338
tutaongelea ajenda za wananchi kwa wakati huo kama ilivyo katiba na tume huru ya uchaguzi kwa sasaNimetolea mfano wa Kenya tunachoona wakiongelea vipi upande wetu tutaongelea kitu gani kuteka kindi la kura
jukwaa la siasa halibuni ajenda bali linaibua ajenda kuu kutoka kwa wenyenchi ambao ni wananchi ....
ikiwa ajenda ni kutoma kwa wananchi itapata uungwaji mkono mkubwaa
turejee Kenya ikiwa ukabila ndo ajenda kuu basi ujue ndo watakacho wananchi na sio wanasiasa
mbona ni rahisi tu
nakushauri tena fatilia siasa za ulimwengu wa kwanza