Kumbe wewe hujui kituKule Kenya ili uteke kundi la watu wakuchague mbali na maendeleo na raia kupata mkate wa kila siku lazima utaje ukanda na ukabila ndio ueleweke, utasikia mlima Kenya sijui waluo na wakikuyu na mambo kama hayo
Je kwetu sisi itakuwaje? Midomo imezibwa siku nyingi siku ikiachiwa itaongea nini? Najiuliza
Hajui ndiyo maana akauliza! Tatizo lipo wapi? MuelimisheKumbe wewe hujui kitu
Kwanza unatoa mwiba uliopo kwenye kalio ,kisha unaketi ndiyo unatoa mwiba wa mguuni.Kule Kenya ili uteke kundi la watu wakuchague mbali na maendeleo na raia kupata mkate wa kila siku lazima utaje ukanda na ukabila ndio ueleweke, utasikia mlima Kenya sijui waluo na wakikuyu na mambo kama hayo
Je kwetu sisi itakuwaje? Midomo imezibwa siku nyingi siku ikiachiwa itaongea nini? Najiuliza
Baada ya yote hayo siasa za majukwaani zitakuwa niniKwanza unatoa mwiba uliopo kwenye kalio ,kisha unaketi ndiyo unatoa mwiba wa mguuni.
Kwasasa Mwiba wa kalio ni katiba mpya ,tume huru ya uchaguzi - kwenye katiba mpya ndipo tutapata wakuu wa majeshi ambao hawachaguliwi na Rais ,tutapata majaji ambao hawachaguliwi na Rais ,RC/DC na vyeo vingine vya hisani ,tukishapata hao watu means utekaji utapotea ,uhuni utaondoshwa.
Then ndiyo tunakuja kutoa mwiba wa mguuni -Rasilimali za nchi zitunufaishe waTZ wote ,nchi inarudi nyuma kwasababu ya ufisadi ,kiongozi inatakiwa apate kipato cha halali ,wawekezaji wanatoa rushwa kisha wanaiba rasilimali za nchi.
Katiba mpyaKule Kenya ili uteke kundi la watu wakuchague mbali na maendeleo na raia kupata mkate wa kila siku lazima utaje ukanda na ukabila ndio ueleweke, utasikia mlima Kenya sijui waluo na wakikuyu na mambo kama hayo
Je kwetu sisi itakuwaje? Midomo imezibwa siku nyingi siku ikiachiwa itaongea nini? Najiuliza
Mkuu nahisi swali nilalojiuliza halijaeleweka kwa wengi, uhuru wa kidemokrasia una matokeo mengi na moja ya matokeo ni kuwepo kwa uhuru wa siasa za majukwaa ambapo kila chama au mwanasiasa atanadi sera zake jukwaani ili kutaka kuungwa mkono wakati wa box la kuraKatiba mpya
Nimetolea mfano wa Kenya tunachoona wakiongelea vipi upande wetu tutaongelea kitu gani kuteka kundi la kuraKusema Ukweli Ukijitahidi kidogo tu kufikiria zaidi ya hapo ulipofikia utajikuta umepata jambo litakalofuata baada ya hapo
Fatilia siasa za Nchi za wenzetu ulimwengu wa kwanza
Jukwaani wanaongeaga nini japo wana maendeleo tayari
ili ufike hapa Uondoe kwanza Itikadi kali ya Chama kichwani
KWANI MIDOMO ILIZIBWA KUHUSIANA NA UKABIA KATIKA KATIBA YA SASA AU KATIBA INAYOPENDKEZWA INATETEA UKABILA? If I am getting you wrong, correct me!Je kwetu sisi itakuwaje? Midomo imezibwa siku nyingi siku ikiachiwa itaongea nini? Najiuliza
You are totally wrongKWANI MIDOMO ILIZIBWA KUHUSIANA NA UKABIA KATIKA KATIBA YA SASA AU KATIBA INAYOPENDKEZWA INATETEA UKABILA? If I am getting you wrong, correct me!