The Guitarist
JF-Expert Member
- Jul 18, 2015
- 3,599
- 5,338
tutaongelea ajenda za wananchi kwa wakati huo kama ilivyo katiba na tume huru ya uchaguzi kwa sasaNimetolea mfano wa Kenya tunachoona wakiongelea vipi upande wetu tutaongelea kitu gani kuteka kindi la kura
ni Kwa namna gani tutanufaika na U Tanzania wetu....Namna Katiba ya Wananchi inatumika ( sio itatumika ) kumpa mwananchi Maendeleo kwa kunufaika na Rasiliamali za nchi kwa haki....Namna gani Mwananchi anapata Maendeleo kwa Mujibu wa katiba ...Kwa hapa kwetu ajenda kuu itakuwa nini, je wananchi wanapenda nini zaidi kwa maoni yako
kwani kenya hawatekani?Kenya hakuna uhuni?Kwanza unatoa mwiba uliopo kwenye kalio ,kisha unaketi ndiyo unatoa mwiba wa mguuni.
Kwasasa Mwiba wa kalio ni katiba mpya ,tume huru ya uchaguzi - kwenye katiba mpya ndipo tutapata wakuu wa majeshi ambao hawachaguliwi na Rais ,tutapata majaji ambao hawachaguliwi na Rais ,RC/DC na vyeo vingine vya hisani ,tukishapata hao watu means utekaji utapotea ,uhuni utaondoshwa.
Then ndiyo tunakuja kutoa mwiba wa mguuni -Rasilimali za nchi zitunufaishe waTZ wote ,nchi inarudi nyuma kwasababu ya ufisadi ,kiongozi inatakiwa apate kipato cha halali ,wawekezaji wanatoa rushwa kisha wanaiba rasilimali za nchi.
Siasa za ukanda zinahitajika sana TANZANIA... Tukubali tukatae tunaona Bagamoyo, Chalinze, Kizimkazi, Chato zikilazumishwa kuchangamka kisa tu viongozi wa sasa awali yao ni huko!Kule Kenya ili uteke kundi la watu wakuchague mbali na maendeleo na raia kupata mkate wa kila siku lazima utaje ukanda na ukabila ndio ueleweke, utasikia mlima Kenya sijui waluo na wakikuyu na mambo kama hayo
Je kwetu sisi itakuwaje? Midomo imezibwa siku nyingi siku ikiachiwa itaongea nini? Najiuliza
Kwa Sasa hawatekani Ruto alitaka kuleta hizo pigo wananchi wakamvaa. Halafu kule mtu akipotea IGP na Waziri wanaitwa mahakamani kujielezea. Sio huku watu wanapotezwa ukiinua mdomo unapewa kesi ya uhaini. Tanzania ni shithole countrykwani kenya hawatekani?Kenya hakuna uhuni?
Una uhakika na ukisemacho?umewahi kuishi Kenya?Kwa Sasa hawatekani Ruto alitaka kuleta hizo pigo wananchi wakamvaa. Halafu kule mtu akipotea IGP na Waziri wanaitwa mahakamani kujielezea. Sio huku watu wanapotezwa ukiinua mdomo unapewa kesi ya uhaini. Tanzania ni shithole country
Na huu ndio utabiri wangu baada ya katiba mpya watu watatumia majukwaa kunadi sera za udini, ukanda na ukabila kuteka makundi ya wapga kuraMbaya zaidi ya yote kuna udini, uZanzibari na uTanganyika... Tatizo letu kila kitu tunataka kukanusha!
Hofu yako siyo sahihi...Na huu ndio utabiri wangu baada ya katiba mpya watu watatumia majukwaa kunadi sera za udini, ukanda na ukabila kuteka makundi ya wapga kura
Hapa siongelei contents za katiba naongelea sera za majukwaa baada ya katibaHofu yako siyo sahihi...
Mchakato wa Katiba Mpya ulishafanyika kabla kupitia Tume ya Warioba...
Hayo masuala hayakuwa sehemu ya mijadala!
Kama kweli kuna hofu hivyo basi ni vizuri hayo yakatiliwa mkazo kwenye ibara za Katiba.
Kukusaidia bite Bila madai,zitakuwa Kazanazo!Kule Kenya ili uteke kundi la watu wakuchague mbali na maendeleo na raia kupata mkate wa kila siku lazima utaje ukanda na ukabila ndio ueleweke, utasikia mlima Kenya sijui waluo na wakikuyu na mambo kama hayo
Je kwetu sisi itakuwaje? Midomo imezibwa siku nyingi siku ikiachiwa itaongea nini? Najiuliza
Kujenga uchumi imara na jumuishi ambao utatuwezesha kuwa na miundombinu bora na imara.tutaondosha wizi,upendeleo,uchakachuaji na mengineyoBaada ya yote hayo siasa za majukwaani zitakuwa nini
Kenya wapo hatua 100 mbele yetu ,atleast Ruto kuna baadhi ya vitu anakemea na anachukua hatua ,Kenya Rais hawezi kuteua majaji bali anawathibitisha tu.kwani kenya hawatekani?Kenya hakuna uhuni?