Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
- Thread starter
- #21
Hata sasa naandamana , kwani huoni avatar yangu?Ulitakiwa uandamane ndio ungejua ilikuwa necessary au hapana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata sasa naandamana , kwani huoni avatar yangu?Ulitakiwa uandamane ndio ungejua ilikuwa necessary au hapana
🚮🚮Hata sasa naandamana , kwani huoni avatar yangu?
Kwani uongo?
Shida ni kauli mbiu tu ya maandamano hayo kuwa "SAMIA MUST GO"...View attachment 3111232
View attachment 3111230
Kujiuliza ni muhimu maana katika demokrasia ya vyama vingi lazima tujenge uvumilivu wa kuwasikiliza wanaotukosoa.
Ni wiki tu imepita na yaliingia magari ya ving'ora, magari ya washa washa na polisi defender kem kem kutoka sehemu zote za Tanzania.
Vijana wamekula posho kwa kusikmama kwenye makutano ya karibu barabara zote kubwa huku wapipigwa jua siku nzima.
Kwa wananchi wengi wa Dr hiki kilikuwa kituko, kwa wale wenye uchungu na fedha yao wakasema ni matumizi mabaya ya fedha zetu.
Raha ya watu wa Dra ni moja tu, kama halimhusu atakutazama kwajicho la pembeni na kwenda zake.
Najiuliza hivi nchi ilitaka kupinduliwa, kulikuwa na jaribio la uvamizi wa Dar. au kuna mabomu yameteguliwa mahali.
Habari za intelijensia zinasemaje?
Mwisho wa siku mtu unajiuliza, je wangeruhusiwa kuandaman hao kina Mbowe, kungekuwa na tofauti gani na sasa tulivyo?
Matumizi makubwa ya polisoi , was it really necessary?
Halafu mtaweza kweli kukaa meza moja na kujadiliana mustakabali wa nchi hii inaitwa Tanzania?
Nafikiri tu!
Nilitaka tusifuje fweza za mlipakodi,kwa posho za kulazimisha au zakulazimishiwa.(Kwani ni uhalifu kama uhalifu mwingine).Sasa wewe ulitakaje?
Choice mwite na Luca tuwaoneni.
Mimi nafikiri SAMIA MUST STAY, lakini aface realities.Shida ni kauli mbiu tu ya maandamano hayo kuwa "SAMIA MUST GO"...
Hii ilimtisha na kumtetemesha sana mama Kizimkazi a.k.a Chura Kiziwi a.k.a Hangaya a.k.a Mama Abdul na wala keki ya taifa wenzake...
Walifikiri na kuona, oooh tukilemaa hawa jamaa hii "SAMIA MUST GO" can be a reality..
However, be assured that, they temporarily succeeded..
The real wind of chaos is under way....
Ndivyo walivyofanya....Mimi nafikiri SAMIA MUST STAY, lakini aface realities.