Najiuliza tu, ile nguvu kubwa kuzima maandamano was it really necessary?

Shida ni kauli mbiu tu ya maandamano hayo kuwa "SAMIA MUST GO"...

Hii ilimtisha na kumtetemesha sana mama Kizimkazi a.k.a Chura Kiziwi a.k.a Hangaya a.k.a Mama Abdul na wala keki ya taifa wenzake...

Walifikiri na kuona, oooh tukilemaa hawa jamaa hii "SAMIA MUST GO" can be a reality..

However, be assured that, they temporarily succeeded..

The real wind of chaos is under way....
 
Mimi nafikiri SAMIA MUST STAY, lakini aface realities.
 
Mimi nafikiri SAMIA MUST STAY, lakini aface realities.
Ndivyo walivyofanya....

Yaani kwa nguvu ile unayoielezea hapa ya jeshi na vifaa vya mapambano ya kivita, Rais Samia akawa yuko tayari kupambana na raia waje walio kwenye peacefully demostration...

Temporarily wakaipindua kauli mbiu ile ya maandamano hayo ya "SAMIA MUST GO" na kuwa "..SAMIA IS STAYING BY THE MEANS OF ARMED FORCES.."
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…