Maserati JF-Expert Member Joined Jun 15, 2014 Posts 11,604 Reaction score 20,085 Oct 27, 2017 #61 Janma said: eeeh emu jibu lako lingekua lipi nkekuuliza hivyo mimi kujiunga uku ni fanikio la kwanza coz nmefahamu mambo mengi mapema Click to expand... Lakini mie nimeuliza tu,hili ni swali kama maswali mengine jomoniii. Lakini kama imechoma kama pasi basi usilijibu
Janma said: eeeh emu jibu lako lingekua lipi nkekuuliza hivyo mimi kujiunga uku ni fanikio la kwanza coz nmefahamu mambo mengi mapema Click to expand... Lakini mie nimeuliza tu,hili ni swali kama maswali mengine jomoniii. Lakini kama imechoma kama pasi basi usilijibu
mjumbe wa bwana JF-Expert Member Joined Sep 19, 2016 Posts 5,252 Reaction score 6,118 Oct 28, 2017 #62 kwanza nikuambie tu ww ni mkubwa kwangu ila kama ni jinsi ya ke uje tuyajenge tuanze kuringa huku kama mshana jr na miss chagga
kwanza nikuambie tu ww ni mkubwa kwangu ila kama ni jinsi ya ke uje tuyajenge tuanze kuringa huku kama mshana jr na miss chagga
likandambwasada JF-Expert Member Joined May 27, 2015 Posts 5,402 Reaction score 6,081 Oct 28, 2017 #63 KUBEDHA? HIKO KISWAHILI KIPYA CHA BW. THORTON WA Barrick.