Maserati
JF-Expert Member
- Jun 15, 2014
- 11,604
- 20,085
Lakini mie nimeuliza tu,hili ni swali kama maswali mengine jomoniii.eeeh emu jibu lako lingekua lipi nkekuuliza hivyo
mimi kujiunga uku ni fanikio la kwanza coz nmefahamu mambo mengi mapema
Lakini kama imechoma kama pasi basi usilijibu