Najivunia kuwa member mdogo zaidi JF

Najivunia kuwa member mdogo zaidi JF

eeeh emu jibu lako lingekua lipi nkekuuliza hivyo

mimi kujiunga uku ni fanikio la kwanza coz nmefahamu mambo mengi mapema
Lakini mie nimeuliza tu,hili ni swali kama maswali mengine jomoniii.
Lakini kama imechoma kama pasi basi usilijibu
 
kwanza nikuambie tu ww ni mkubwa kwangu ila kama ni jinsi ya ke uje tuyajenge tuanze kuringa huku kama mshana jr na miss chagga
 
Back
Top Bottom