Najivunia kuwa Mwanaume wa Dar

Kongole kwa kivumishi "Baadhi yenu" umeitendea haki akili yako!
 
wanaume wa dar kazi kudanga kwa mijimama huku mkibuni mbinu nyingi za utapeli,mwanaume wa dar unalala na mke na watoto chumba hichohicho na sebule hyihyo,mwanaume wa dar maji mnakunywa ya kondoro hamjui hata usalama wake
 
Haha wa mikoani mna maneno kama asha boko
 
Sasa dar unakuta mwanaume anakula soseji, chips, baga,kuku wa kizungu,ice cream, mara mchemsho cjui, alafu anajisifu anakula anachotaka wakat vyote hivyo ni vyakula vya kula wanawake...na bado akila anabakza.
Hiyo soseji siwezi kula imekaa kama dushe
 


Hauna akili timamu, mwanamme anayejitambua hata siku moja hawezi kuwa na furaha kujiita mwanamme wa Dar, haiwezekani.
 
Mwanaume wa dar akipata kahela kidogo tu anakimbilia kununua nguo..zile wanaita kamatia chini na vijeans vilivyochanika chanika kweny magoti
 
Mwanaume wa dar unamkuta eti nae ni team wema sepetu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Njoo kagera uone wanaume wanavyo jichubuwa.
 
Wanawaonea wivu tu wanaume wa dar
 
Nasikia eti huwa mnakula pemba na kuvaa kikuku ?
 
Unaongelea watu tofauti sana, hao sio wanaume wa dar, labda unasemea wa tanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…