Wanaume wa Dar baadhi yenu mnakula kwa hisani ya kazi za Dada zenu wanazo zifanya usiku.
Mwanaume wa Dar anakunywa soda na biscuit ya 500 kashiba kabisa na analala
Wanaume wa Dar baadhi yenu mnajichubua pia kama wanawake wasio jikubali.
Wanaume wa Dar baadhi yenu mnajipaka mafuta kwenye lips mkidai zinakauka.
Wanaume wa Dar baadhi yenu mnashinda kwenye kioo mkijipodoa
Wanaume wa Dar baadhi yenu mkitoka bafun mnavua nguo zote mnajipaka mafuta mwili mzima, sisi wa mkoani tunajipaka mafuta baada ya kuvaa nguo tukimaliza kuoga.
Wanaume wa Dar baadhi yenu ni wambea, wambea tu kama wanawake
Wanaume wa Dar baadhi yenu mnamapozi ya kike sana mpigapo picha, mfano kulamba, kungata lips wakati wa upigaji wa picha.
Kwa leo niishie hapo.